Mara ya kwanza kutumia vilevi tofauti tofauti haya ndio yaliyonikuta

UGORO
Wakuu asikwambie mtu kitu kula ugoro kwa mara ya kwanza...nakumbuka nlikua form v ile..toka mtaani nilikua namba kwenye uvutaji wa bangi na hainipi shida yoyote..

sasa kutokana na mazngira ya bweni kubana sikuweza kupata muda wa kutafuta bangi,nikaona bora nijifunze kula ugoro..

nlimuagiza mlinzi akaninunulia wa buku,wakati wa kwenda prepo,me nkaweka ugoro mdomoni halafu kwenye pilika pilika nkajikuta nmemeza mate yote,,nliuona moto..

nilianguka ghafla kama nadegedege bila kutikisika,macho nimefumba,jasho mwili mzima...wakamuita din of student alinipekua sana lakn hakukuta chochote..

Nakuja shtuka saa 4 asubuhi nipo kwenye hospital ya shule na nikapewa beji(waliosoma seminary wanaijua) ya specia case kuwa naumwa pumu... Ila ugoro nyie
Masikini watoto wa Mungu wameshindwa kutambua ugoro kwa mwana aliyepotea .

Wakaishia kumpa beji dah [emoji38][emoji38]

Waseminary walifeli sana
 
UGORO
Wakuu asikwambie mtu kitu kula ugoro kwa mara ya kwanza...nakumbuka nlikua form v ile..toka mtaani nilikua namba kwenye uvutaji wa bangi na hainipi shida yoyote..

sasa kutokana na mazngira ya bweni kubana sikuweza kupata muda wa kutafuta bangi,nikaona bora nijifunze kula ugoro..

nlimuagiza mlinzi akaninunulia wa buku,wakati wa kwenda prepo,me nkaweka ugoro mdomoni halafu kwenye pilika pilika nkajikuta nmemeza mate yote,,nliuona moto..

nilianguka ghafla kama nadegedege bila kutikisika,macho nimefumba,jasho mwili mzima...wakamuita din of student alinipekua sana lakn hakukuta chochote..

Nakuja shtuka saa 4 asubuhi nipo kwenye hospital ya shule na nikapewa beji(waliosoma seminary wanaijua) ya specia case kuwa naumwa pumu... Ila ugoro nyie
[emoji1787][emoji1787]Nili ibaga kubeli ya uncle si nikawa na tafuna nameza mate weee nilizima kustuka saa moja jioni
 
Bia za Tz chungu sana
Siwezi
Heri nilewe na ginger ale

Hiyo flying fish nzuri. Ila napo imezidi utamu
flying fish sukari nyingi.

halafu haileweshi. kipindi ndio imeingia ingia nadhani mwanzoni mwa mwaka jana. nikaagiza nikajikuta napiga tu nafika mpka chupa ya 12. bado niko fresh kabisa.

shida tu nilianza kuihisi hewa imekuwa nzito, na mapigo ya moyo yanaenda kasi. Nadhani kwa sababu ya sukari nyingi.
Now nikitaka nisilewe naagiza hiyo ila nakunywa mwisho caton moja tu. (chupa 6)
 
Mara ya kwanza kutumia kilevi aina ya Ulanzi ilikuwa mwaka mwaka 2012 mkoani mbeya nilikuwa mwanafunzi shule X huko jijini mbeya tulitoroka usiku tukaenda na wanangu chimbo flani ivi wana wakaagiza ulanzi tukaanza kupiga mambo, mimi nilikuwa mgeni, ila kulikuwa na kautam flani, ajabu nashangaa silewi kama wengine walivyowahi kudai ni kilevi.

Basi bana nikala vitu kama birika moja hivi lita 1.5 ile sasa imefika time ya kuondoka ndo kimbembe kikafuata kila nikijaribu kunyanyuka ngoma haiendi joint zote za mwili nilihisi zimetenguliwa yaani kila nikinyanyuka nahisi magoti hamna mifupa, wana waliniburuza hadi shule walipofika wakapanda ukuta wakaingia wakaenda hostel wakachukua magodoro wakaja wakatandika kwa ndani kisha wakaninyanyua wakanipandisha ukutani na kunisukumia ndani kama kiroba cha mahindi maana pasipo kufanya hivyo nikikutwa nje msala utakuwa wa wote, hapa ilipita wiki nzima naumwa.

SIKU niliyovuta Weed nakumbuka ilikuwa 2015 niko mkoa X kule kilimo cha weed ni kama zao la kawaida tu wanapiga mixer weed na mahind na life nilaenda, nakumbuka siku hiyo na mwana tumejipanga tuibuke kwao kigori flani kutangaza nia ya kuchumbia jamaa angu akanambia tuvute weed ndio tutapata confidence ya kuzungumza kwa wakwe, hapo wote tukaona wazo la mwana liko dope, tukazama chimbo tukala mjani wa kutosha, ile tumetoka mimi nikaona njia nzima imejaa maji yaani kuna madimbwi ya maji kibao kila ninapokanyaga, hapo ikumbukwe ni mida ya saa nane mchana jua kali ila mwamba naona njia nzima ni madimbwi ya maji, basi kidume nikakunja suruali nikaanza kuruka njia nzima nakwepa maji yaani nilitembea kwenye pembe za barabara nikiruka huku natua kule naruka kule natua hapa.

Yote ni safari ya kwenda ukweni, kimbembe tumefika naona mji mzima uko bwawani hadi wanapoweka viti naona ni maji tupu mwamba nikarukia kwenye ukingo wa msingi wa nyumba, mda wote mazungumzo yanaendelea mwamba niko nabembea tu ukutan nikono kutafta balance ya kusimamia pembe ya ukuta, hadi mzee wa mji alipokuja akatutimulia mbali, walihisi nimerogwa maana nilikuwa ndio nimerudi nyumbani baada ya kumaliza kidato cha sita. kesho yake habari ziliosambaa nimewehuka na ilikuwa aibu ya karne kwangu.

SIKU kwanza Kunywa K VANT, ilikuwa 2017, kuna manze alinizungusha almost miezi minne ila mungu si Athuman akajaa 18 sasa mwamba nikakumbuka zile stori za vijiweni kuwa ukila vant shoo shoo, nikakimbia kwa mangi nikachukua zangu Vant chupa ndogo hapo ni baada ya kuchukua room tayari kwa ajili ya kazi maalum, nikaigudua chap kabla manzi hajafika maana tayari nilimpa location ya room namba.

Ile nimetulia dakika chache manzi kaingia, namuona huyu ila hata nguvu ya kunyanyua kinywa kumsemesha siwezi, kichwa kizito macho yanafunguka kwa shida kijasho chembamba kinatoka hapa sikumbuki kilichoendelea ila nilikuja kustuka saa11 alasiri nipo peke yangu lorge na nimelala na viatu, koti mzula saa na kila kitu, afu kichwa kinauma hatari, na sina kumbukumbu nilimelala wapi na ilikuwaje, hapo nikaanza kusearch channel za kichwa ila kumbukumbu kama inakuja alafu inakata, cha kwanza nikajikagua mifukoni na kila kitu nikajikuta niko fresh, ile kushika simu nilikutana na bonge la messege ndio lililonipa picha kamili ya tukio zima ilivyokuwa, ila majibu ni kwamba nililala usingizinikaacha dem kwenye kiti akaamua kusepa na yeye baada ya kujaribu kuniamsha bila mafanikio.

Siku nimevuta FEGI, nakumbuka hapa sio mda sana ila tulikuwa na wana tunakula zetu nyama choma na serengeti lite zimejaa meza, na madem zetu jamaa angu anakula moshi mdogo mdogo kanipasia kidogo namimi nikajikakamua nikapiga fundo moja kisha nikameza moshi alafu nkauachia kidg puani, haloooooo, yale maumivu yake niliyoyapata kifuan mda ule moshi unashuka tumboni nilihisi kuna mtu anapiga drilling kifuani alafu nilikohoa hadi ushuzi ukatoka mbele ya dem wangu ile pwu pwu puuuyuh! kudadek niliumbuka na walinicheka sana pamoja kwama dem wangu aliumizwa sana na kitendo kile na kuniasa nisirudia ila mimi kichwani mwangu niliona aibu na nilijiapiza kutorudia.

Nisiwachoshe ila vilevi vyote vilinipga matukio hadi nilipoangukia kwenye serengeti lite, na vinywaji jamii ya wine tu ndivyo ninavyotumia tu. Kama na ww ulishawahi kupigwa tukio tiririka hapa.
Aisee una bahati sana ujinga huu uliufanya Mbeya, ungekuwa Dar ungeokotwa tena kwa kugombaniwa huku hujitambui na mpaka sasa ungekuwa unavaa shanga kiunoni na kuwa demu wa mwanamme mwenzako. Shukuru sana bado una malinda. Ulanzi oyeeee!
 
ko wanaume wa dar huwa mnaowana sio
 
Hata mimi aisee nisha jalibu mara kadhaa, sihisi kitu nikaamua kuachana nayo
Ndugu zangu msijidanganye,mnavuta vitu vya kawaida..Nilikuwaga kama nyie..Nilipiga hiyo kitu ya South Africa(Lesotho specifically) kitu ni grade 1 kabisa tulishare watatu...Sasa nikawa nasema aaah hizi hazinichukuagi na hazina effect kwangu..Sasa Jamaa aliyeileta akapiga paff kama 5 tuu akaacha,Tulikuwa na binti mmmoja ye kapiga paff 2 tuu then mwamba sasa nikaigonga yote bila shida..
Kwa kuwa nakazaga hainichukui na haina effect nikaenda room kwanza maana nilianza kama kusikia usingizi pale pale..Mmmmh nimefika room nikaona kama kila kitu kinaenda slow motion kuanzia naingia kwenye kitanda hadi nilivyojilaza...Nikatulia dakika moja kitandani naona kichwa kimepata utulivu uliopitiliza..Ule utulivu ulinizidi nikahisi naweza kudata nikarudi sebleni kwa wenzangu ili nione hali zao zikoje..Sasa nikajikaza kama hamna kinachoendelea,ila sasa changamoto ikawa yule binti alisimama na kuanza kutuuliza hivii hamsikii kelele za bodaboda na magari kweli??Nikawa najikaza kucheka lakini nashindwa na ukicheka sana unaonekana imeshakuchukua so ilikuwa ni kuchekana tuu mwisho wa siku nikafunguka tuu asee hii kitu imenichukua na sielewi elewi hapa naona kila mtu ananyata tuu ilihali anatembea..Full hallucinations asee,Na mwisho kabisa nilivyoona ile kitu haifai ni yule binti alisema anaingia chumbani kupumzika..Kafika room katoka in 2 minutes karudi sebuleni anatuambia daah yani washikaji najisikia kulala ngoja niende room kulala..Asee nilicheka kichizi kwa Kuwa she just came from her room..

All in all bangi ni madawa ya kulevya na mihadarati wacha ipigwe marufuku..Kama una kichwa chepesi unakuwa chizi pale pale..Ile highness ilikaa for almost two hours hadi kuisha kichwani..

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kmbe za huku sio za grade one mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii ndo bangi sasa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nilivuta skanka pale dodoma al manusula niachwe na basi full wenge japokuwa nilikuwa kichwa sana kwenye bushi tunavuta mchana kuwa afu saf saf sema skanka au high grade 🙌🙌
 
Back
Top Bottom