Kwa Morombo jina kubwa ila ni sehemu mbaya sana kuna mda najiuliza inamaana sisi tuna allergy na mambo mazuri
Mambo niliyokutana nayo kwa morombo
- Vumbi
- Kuchafu mazingira kwa ujumla
- Mazingira ya kupikia machafu
- Vyoo vichafu
- Pako disorganized
- Mbuzi zinazochomwa hazina standard
Nikiwa Rais wa Tanzania kwa morombo pataboreshwa sana
- Patakuwa pasafi
- Kutapigwa paving kote hakutakuwa na vumbi
- Sehemu za watu kula a.k.a vibanda vitakuwa vya kisasa
- Vyoo vitakuwa visafi
- Kutakuwa na maeneo ya parking za magari
- Mbuzi wanaochomwa watakuwa na standard
Ntafaya pawe pazuri tofauti na ilivyo sasa
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...