Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,208
- 3,938
Rais asiejua separation of power anashughulikia mpaka petty business kama hizo, utakuwa rais unaelala umechoka sana
Umeme haufiki vizur kichwaniKisando alikujaga hivi hivi baadaye ikajulikana ana matatizo ya akili,huyu sasa wa pili huku JF, jamaa nati zimeachia
Hongera kwa kushiriki na karibu tenaUmeme haufiki vizur kichwani
Nyama niliyokula kwa morombo nilipoenda nilijuta sio nzuri kabisa ila wengine wanapasifia tunatofautiana sanaNyama ya mlimani city na kwa morombo ni kifo na usingizi. mlimani city nyama ina taste nzuri hadi unasahu kiasi ulicholipa
Yaani kuna watu wanapenda vyoo vichafu, vumbi na chakula kichafu?Kila eneo lina target market yake mh rais mtarajiwa. Sehemu za kuchoma nyama siku ufike Uzunguni city park utapata mazingira unayoyataka,na bei ni rafiki kabisa.
Kwa morombo wame target watu wao ambao wameridhika na hayo mazingira. Ukisema uweke parking,sjui paving utaweka wapi hayo mazingira? Umeanza kutoa ahadi za uongo hata hatujakupa kura bado
Haya ndo maajabu ya baadhi ya watanzaniaYaani kuna watu wanapenda vyoo vichafu, vumbi na chakula kichafu?
Aloo hii mpya hii