Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 7,376
- 16,539
Kisando alikujaga hivi hivi baadaye ikajulikana ana matatizo ya akili,huyu sasa wa pili huku JF, jamaa nati zimeachiaHuyu jamaa kama nati zimeachia huko kichwani
Kisando alikujaga hivi hivi baadaye ikajulikana ana matatizo ya akili,huyu sasa wa pili huku JF, jamaa nati zimeachiaHuyu jamaa kama nati zimeachia huko kichwani
Umeshajiliza kiwango fedha kinachopotea na watu walijiajiri hapo unadhani wanacheza hapanaRaisi shughulikia vitu vyenye tija basii, Hapa kwa Mromboo hapachangii hata 0.2 ya pato la taifa...
NB:Sina maana pasifanyiwe kazi hapana, ila sio na wewe Mheshimiwa Rais Dr Dennis Robert Shughuru
Hata watu wa chini wanastahili mazingira mazuriKila eneo lina target market yake mh rais mtarajiwa. Sehemu za kuchoma nyama siku ufike Uzunguni city park utapata mazingira unayoyataka,na bei ni rafiki kabisa.
Kwa morombo wame target watu wao ambao wameridhika na hayo mazingira. Ukisema uweke parking,sjui paving utaweka wapi hayo mazingira? Umeanza kutoa ahadi za uongo hata hatujakupa kura bado
Huwezi elewa sababu Tanzania tuna allergy na mambo mazuriHuyu jamaa kama nati zimeachia huko kichwani
Jamani pusha muongezee bangiKwa Morombo jina kubwa ila ni sehemu mbaya sana kuna mda najiuliza inamaana sisi tuna allergy na mambo mazuri
Mambo niliyokutana nayo kwa morombo
Nikiwa Rais wa Tanzania kwa morombo pataboreshwa sana
- Vumbi
- Kuchafu mazingira kwa ujumla
- Mazingira ya kupikia machafu
- Vyoo vichafu
- Pako disorganized
- Mbuzi zinazochomwa hazina standard
Ntafaya pawe pazuri tofauti na ilivyo sasa
- Patakuwa pasafi
- Kutapigwa paving kote hakutakuwa na vumbi
- Sehemu za watu kula a.k.a vibanda vitakuwa vya kisasa
- Vyoo vitakuwa visafi
- Kutakuwa na maeneo ya parking za magari
- Mbuzi wanaochomwa watakuwa na standard
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Mi toka siku ya kwanza nilijua kuwa jamaa dish limeyumba mwezi mchanga....chiziHuyu jamaa kama nati zimeachia huko kichwani
Tunakuombea heri.Kwa Morombo jina kubwa ila ni sehemu mbaya sana kuna mda najiuliza inamaana sisi tuna allergy na mambo mazuri
Mambo niliyokutana nayo kwa morombo
Nikiwa Rais wa Tanzania kwa morombo pataboreshwa sana
- Vumbi
- Kuchafu mazingira kwa ujumla
- Mazingira ya kupikia machafu
- Vyoo vichafu
- Pako disorganized
- Mbuzi zinazochomwa hazina standard
Ntafaya pawe pazuri tofauti na ilivyo sasa
- Patakuwa pasafi
- Kutapigwa paving kote hakutakuwa na vumbi
- Sehemu za watu kula a.k.a vibanda vitakuwa vya kisasa
- Vyoo vitakuwa visafi
- Kutakuwa na maeneo ya parking za magari
- Mbuzi wanaochomwa watakuwa na standard
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Wachoma mbuzi wengi wanachona kondoo wanasema ni mbuzi hii ni changamoto ya nchi nzimaMh. Rais mtarajiwa uhakikishe pia waache kutuuzia kondoo wakitudanganya kuwa ni mbuzi.🙂
Kabis Muheshimiwa.Wachoma mbuzi wengi wanachona kondoo wanasema ni mbuzi hii ni changamoto ya nchi nzima
Kwani unachomewa kwenda kulia nyumbani? Kama unakula hapohapo si utagundua utafautiWachoma mbuzi wengi wanachona kondoo wanasema ni mbuzi hii ni changamoto ya nchi nzima
Ni ngumu kwa mtu wa kawaida kutofautisha mbuzi na kondoo wakichomwaKwani unachomewa kwenda kulia nyumbani? Kama unakula hapohapo si utagundua utafauti
Mzungu hata aone mazingira mabovu hawezi sema ni mabaya kwa sababu sio nchi yake in short hajali sisi watanzania ndo wakujali sababu nchi ni yetu
Majiko yote ya nyama choma bongo Yana ukoko wa uchafu wa mafuta yaliyogandamana siku nyingiKwa Morombo jina kubwa ila ni sehemu mbaya sana kuna mda najiuliza inamaana sisi tuna allergy na mambo mazuri
Mambo niliyokutana nayo kwa morombo
Nikiwa Rais wa Tanzania kwa morombo pataboreshwa sana
- Vumbi
- Kuchafu mazingira kwa ujumla
- Mazingira ya kupikia machafu
- Vyoo vichafu
- Pako disorganized
- Mbuzi zinazochomwa hazina standard
Ntafaya pawe pazuri tofauti na ilivyo sasa
- Patakuwa pasafi
- Kutapigwa paving kote hakutakuwa na vumbi
- Sehemu za watu kula a.k.a vibanda vitakuwa vya kisasa
- Vyoo vitakuwa visafi
- Kutakuwa na maeneo ya parking za magari
- Mbuzi wanaochomwa watakuwa na standard
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Watu wanatakiwa wafundishwe usefi ikibidi hata kwa lazima na hawajali kabisaMajiko yote ya nyama choma bongo Yana ukoko wa uchafu wa mafuta yaliyogandamana siku nyingi