Mara ya kwanza nilienda kwa Morombo wanakochoma nyama nilikuwa disappointed sana ni pabaya

Mambo ya mnadani dodoma kila jumamosi , mazingira machafu ila hiyo nyomi kama lote kwa kawaida wanaume hatujali sana mambo ya mazingira .
Mwanzisha post ni mwanamke au mwanaume?
 
Raisi shughulikia vitu vyenye tija basii, Hapa kwa Mromboo hapachangii hata 0.2 ya pato la taifa...


NB:Sina maana pasifanyiwe kazi hapana, ila sio na wewe Mheshimiwa Rais Dr Dennis Robert Shughuru
Umeshajiliza kiwango fedha kinachopotea na watu walijiajiri hapo unadhani wanacheza hapana

Pakiboreshwa pataingizia serikal mapato mengi
 
Hata watu wa chini wanastahili mazingira mazuri
 
Jamani pusha muongezee bangi
 
Tunakuombea heri.
 
Majiko yote ya nyama choma bongo Yana ukoko wa uchafu wa mafuta yaliyogandamana siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…