Mara ya kwanza nilienda kwa Morombo wanakochoma nyama nilikuwa disappointed sana ni pabaya

Rais asiejua separation of power anashughulikia mpaka petty business kama hizo, utakuwa rais unaelala umechoka sana
 
Nyama ya mlimani city na kwa morombo ni kifo na usingizi. mlimani city nyama ina taste nzuri hadi unasahu kiasi ulicholipa
 
Yaani kuna watu wanapenda vyoo vichafu, vumbi na chakula kichafu?
Aloo hii mpya hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…