Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hiyo imekaa vizuriNikienda kuchangia damu wanapima vitu vingi sana, japo majibu unapata baada ya wiki mbili.
Huku Bongo tunapima Ukimwi tu then tunaanza kuzagamuana dry, wakati huo hatujapima maradhi mengine kama vile Hepatitis, Gonorrhea n.k ambayo nayo ni hatari vile vile