mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂Huo usanii wenu tulishausoma tayari,
Yaani baada ya corona kuanza kuwakurupua mjini ndo mmeanza kukumbushana eti kijijini mmekuja lini mara ya mwisho.....!
Juzi hapa nikamuona ndugu yetu kijijini kaja kututembelea na zawadi kibao baadae nae nasikia kumbe ukarimu ule kumbe unatokana na kuutaka udiwani.
Mjini ipi?? Maana kuna wanaoona yalipo makao makuu ya wilaya tu ni kijijini au mjiniNyie mtuambie lini mara ya mwisho mmekuja mjini
"corona ipo tuchukue tahadhari"
MJINI YA DODOMAMjini ipi?? Maana kuna wanaoona yalipo makao makuu ya wilaya tu ni kijijini au mjini
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huo usanii wenu tulishausoma tayari,