Mara ya mwisho kwenda kijijini kwenu ni lini

Mara ya mwisho kwenda kijijini kwenu ni lini

Huo usanii wenu tulishausoma tayari,

Yaani baada ya corona kuanza kuwakurupua mjini ndo mmeanza kukumbushana eti kijijini mmekuja lini mara ya mwisho.....!

Juzi hapa nikamuona ndugu yetu kijijini kaja kututembelea na zawadi kibao baadae nae nasikia kumbe ukarimu ule kumbe unatokana na kuutaka udiwani.
 
😂😂😂😂😂😂😂
😷😷😷😷😷😷😷
 
January 2020, nazareth lutindi korogwe!

The good, the bad and the ugly.
 
Huo usanii wenu tulishausoma tayari,

Yaani baada ya corona kuanza kuwakurupua mjini ndo mmeanza kukumbushana eti kijijini mmekuja lini mara ya mwisho.....!

Juzi hapa nikamuona ndugu yetu kijijini kaja kututembelea na zawadi kibao baadae nae nasikia kumbe ukarimu ule kumbe unatokana na kuutaka udiwani.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimezaliwa Dar, nimekulia dar mpaka sasa naishi dar.
Sijawahi kufika mkoani kwa baba wala kwa mama.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
January hii nilikuwepo ila jamani kijijini kwetu kutamu, watu wana upendo na vile nilikuwa Nina muda sijaenda dah!

Vyakula vya kumwaga, unabembelezwa ule, mawifi zangu kila mtu anataka niende kula kwake, bibi zangu huyu akipika anatuma ujumbe home wananisubiri tule, zawadi sasa halipiti lisaa sijatumiwa zawadi, watoto ni kupishana," Shangazi mama kanipa hii nikuletee", Shangazi mama anakuita, Shangazi baba anakuita, nikifika nikukuta mboga 7 kuku wa kienyeji, kitimoto, sijui mbuzi mmh! Naishia kuonja maana huo ulaji siwezagi dah

Mama yangu sasa, kila kitu aliandaa kadri awezavyo dah.

Kijijini its all about eating, eating eating and eattttttttttt maisha safi ni kucheka ma kufurahi, hakuna stress kule kila kitu bure .
Wageni sasa , ndugu majirani, utaskia Dada huyu kaja kukuona, dah!

Siku ya kurudi nilifungiwa vitu nikawa nacheka mwenyewe maana siwezi mizigo hiyo yote. Dah kweli nyumbani ni nyumbani tu!

Hii corona mbaya sana nilitaka pasaka hii nirudi , kwa mwaka ntakuwa naenda Mara mbili.😁
 
Leo ilikua niende Moshi, sema mdudu Corona ahaminiki...unaweza sikia lockdown ya mikoa...kibarua kikaota nyasi.

By the way mwaka jana Dember nilikua mndenyi kula macharari (ndizi)
 
Back
Top Bottom