Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Wewe mtoro asee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtoro asee.
Mimi niko kijijini kwetu..wewe upo wapNajua wengi wetu tuko mijini kiutafutaji,lakini kiasili tuna maeneo yetu ya asili ambayo tunatokea,wengine husema kwenye asili ya ukoo.binafsi weekend iliyopita nilikua huko.
Haijalishi kama babu na bibi walishafariki au la lakini bado naamini kuna ndugu wapo..je unakumbuka mara ya mwisho kwenda kijijini kwenu ni lini?
Twende Moshi baada ya corona kupita, tunaondoka ijumaa jioni turudi jumapili!! 😉
Na nlivyopamiss, corona iishe tu fasta si twenzetuTwende Moshi baada ya corona kupita, tunaondoka ijumaa jioni turudi jumapili!! 😉
Ukanywe mbege, na mbuzi!!
Ile tabia umeiacha?
Sijawahi kwenda tangu nimezaliwa na sasa nina miaka 42Najua wengi wetu tuko mijini kiutafutaji,lakini kiasili tuna maeneo yetu ya asili ambayo tunatokea,wengine husema kwenye asili ya ukoo.binafsi weekend iliyopita nilikua huko.
Haijalishi kama babu na bibi walishafariki au la lakini bado naamini kuna ndugu wapo..je unakumbuka mara ya mwisho kwenda kijijini kwenu ni lini?
Jirani kabisa!Kule karibu na hospitali ya vichaa?