Mara ya mwisho kwenda kijijini kwenu ni lini

Najua wengi wetu tuko mijini kiutafutaji,lakini kiasili tuna maeneo yetu ya asili ambayo tunatokea,wengine husema kwenye asili ya ukoo.binafsi weekend iliyopita nilikua huko.

Haijalishi kama babu na bibi walishafariki au la lakini bado naamini kuna ndugu wapo..je unakumbuka mara ya mwisho kwenda kijijini kwenu ni lini?
Mimi niko kijijini kwetu..wewe upo wap
 
Najua wengi wetu tuko mijini kiutafutaji,lakini kiasili tuna maeneo yetu ya asili ambayo tunatokea,wengine husema kwenye asili ya ukoo.binafsi weekend iliyopita nilikua huko.

Haijalishi kama babu na bibi walishafariki au la lakini bado naamini kuna ndugu wapo..je unakumbuka mara ya mwisho kwenda kijijini kwenu ni lini?
Sijawahi kwenda tangu nimezaliwa na sasa nina miaka 42
 
Back
Top Bottom