Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

Only yesterday,
Nikasema "ujane umekuwa kongwa kwangu"?
 
ndo hali halisi mkuu
hakuna namna imebidi
Nasikia wanajitetea kwamba Yanga ilichukua makombe iko nafasi ya ngapi CAF ranking, ukiwauliza kwahio mlikabidhiwa kombe top 5 au mtapiga parade kutembeza top 5! inasikitisha.
 
Nasikia wanajitetea kwamba Yanga ilichukua makombe iko nafasi ya ngapi CAF ranking, ukiwauliza kwahio mlikabidhiwa kombe top 5 au mtapiga parade kutembeza top 5! inasikitisha.
pacome amepiga sehem mbaya sana. wameshachanganyikiwa hawa wanaweweseka mchana kweupe na kulaumu kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…