Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

Nyie mbuziii, mind you

Kuna kulia na kutokwa machozi. Mjue kutofautisha hapo

Haya tuendeleeni
 
Mtag tu ili asanuke chap
wengine tunasaka hizi nafasi hatupati!
Hebu mtu anisaidie kutamka enilonga
Am tayadi ai kant teki iti enilonga wai hamnitaki mimi!
 
Back
Top Bottom