Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Mwaka wa uchaguzi huuKaka achana na jimama mtoto mzuri kakuelewa unamzibia fungu lake, hujui rizki mafungu saba, utabakiza sita ukimkubalia!
Mwaka wa uchaguzi huuKaka achana na jimama mtoto mzuri kakuelewa unamzibia fungu lake, hujui rizki mafungu saba, utabakiza sita ukimkubalia!
nimekubali bila mimi kumpa masharti yoyote.Nice & lovely (kama umekubali masharti ya mpaji)
Agiza bia mbili mdudu kilo ndizi na maji moja raha jipe mwenyeweSasaivi nimenyimwa mbususu uku naiona 😭😭
Ahahah mm leo nataka mbusus mnala. Umesimama sana na hili baridiHahaha dah! kapike ujipoze na msosi.
Kaka mpemba alivyokuvalia shanga akaifinyia kwa ndani hukulia.
🙂
Leo nataka mbusus tu sitaki kitu chochoteAgiza bia mbili mdudu kilo ndizi na maji moja raha jipe mwenyewe
Nenda ShivaAhahah mm leo nataka mbusus mnala. Umesimama sana na hili baridi
Kidogo mkuu,Bado mateso ninayoDuh! 🙁 inasikitisha baada ya kulia uliapata ahueni?
Nikachue UTI suguNenda Shiva
Nipo arusha boy af nataka kavu sitaki ya kondomu aseNenda samaki samaki au kitamba cheupe!
Nenda kwa madogo wa Uhasibu kule ukajiokotee mali namba ENikachue UTI sugu
Hapo umenena kabisa hawana nauli za likizoNenda kwa madogo wa Uhasibu kule ukajiokotee mali namba E
Wiki iliyopita msiba wa mzazi mwenzangu!! Kusema kweli pamoja na madhaifu yake yote niliyoshindwa kuyavumilia ikapelekea kutalikiana ila niwe mkweli !! Namshukuru kuwa alinioa hakuwahi kunizini lakini pia amenipa watoto watatu wazuri mnoo Alhamdulilah ingawa mmoja ametangulia mbele ya hakii!! Hayo mambo mengine atajua yeye na MuumbaKwema wakuu.
KUNA MAMBO HUTOKEA maishani yanapelekea tutokwe machozi ya huzuni,furaha na hata hasira.
Wengine huenda mbali sio tu kutokwa machozi, wao wanabubujikwa machozi wanalia haswa. Ajali ya leo iliyotokea Same imenihuzunisha sana, sana nimejikuta natokwa machozi automatically.
Nimekumbuka wakati nasoma kidato cha pili, ilikuwa mwezi kama huu na siku kama hizi, wiki ya mwisho ya likizo ya mwezi wa 6, classmate mwenzetu alifariki kwa ajali ya moto nyumbani kwao.
Ni tukio lisiloweza kufutika akilini mwangu, jamaa alikuwaga na akili sana za darasani, alikuwa ni one of the brightest kids pale shuleni.
Siku hio jumapili(kesho yake jumatatu tungefungua shule) tulikutana mtaani tukiwa kama wanne, misele ya hapa na pale jioni tukaagana kila mmoja akaelekea kwao...
yani ile ya kabisa,,io ya 6 bado sijajuaNgoja kwanza, umempenda kabisa, au umeona anafaa kwa matumizi ya 6x6?