Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Mpaji mwenyewe sasa yy ni mpira, vinywaji na mbuzi katolikiila usilie pambania kwa mpaji 😀
Mpaji mwenyewe sasa yy ni mpira, vinywaji na mbuzi katolikiila usilie pambania kwa mpaji 😀
ujue wengi wanasapoti umebaki pekeako tu kusema yes I do 😂😂Nipo kwa Gwajima huku nimebeba bango, utulivu mdogo ntumie voice tsup
naji add apo mbele ya mbuzi katolikiMpaji mwenyewe sasa yy ni mpira, vinywaji na mbuzi katoliki
Mpaka haki itendeke hamna kukubaliujue wengi wanasapoti umebaki pekeako tu kusema yes I do 😂😂
Hapo mpaka tuangalie mwaka wa budget 2025/2026naji add apo mbele ya mbuzi katoliki
Hahaha haki gani sasa unasemeaMpaka haki itendeke hamna kukubali
We nizibie riziki 😁hujui kama kuna jimama nalivizia humu
kwakua mm ndo muhitaji,sina budi kuweza mkuu
Mahakama inasema kanisa halijafungwa lkn polisi wametanda kuzunguka kanisa😁Hahaha haki gani sasa unasemea
kwakua mm ndo muhitaji,sina budi kuweza mkuu
roho ngumu ioHapo mpaka tuangalie mwaka wa budget 2025/2026
🤣🤣na mabomu ya machozi kama maji ya upakoMahakama inasema kanisa halijafungwa lkn polisi wametanda kuzunguka kanisa😁
sikati tamaaWe nizibie riziki 😁hujui kama kuna jimama nalivizia humu
Eeeeh ndo kusema 🙄Nais ende lavuli [emoji7]