Nipo chini ya mti hapa nagonga pepsi mda sio mrefu hawa polisi ntawafundisha Kishindo cha wakoma😁😁😁🤣🤣🤣🤣😚 tupambane na maombi kwanza.
🤣🤣🤣🤣🤣 useme mapema tukufuate kituo kipi?Nipo chini ya mti hapa nagonga pepsi mda sio mrefu hawa polisi ntawafundisha Kishindo cha wakoma😁😁😁
Pole sana ndugu yangu.Wiki iliyopita msiba wa mzazi mwenzangu!! Kusema kweli pamoja na madhaifu yake yote niliyoshindwa kuyavumilia ikapelekea kutalikiana ila niwe mkweli !! Namshukuru kuwa alinioa hakuwahi kunizini lakini pia amenipa watoto watatu wazuri mnoo Alhamdulilah ingawa mmoja ametangulia mbele ya hakii!! Hayo mambo mengine atajua yeye na Muumba
Kwani nyie huwa mnatupatia muda na wadada ni wengi!?Mpe mda atakuelewa tu mwamba.
Hah huwa tunawapa muda mjifikirie then mtoe jibu which we always expect to be "YES". Mpaji Mungu kasema 2026 atakupa jibu.Kwani nyie huwa mnatupatia muda na wadada ni wengi!?
Ni mimi mkuu nimechange ID😎Situation yako ni kama ya Binti Sayunii alikuwa anabondwa sana.
Nina hangaika kutafuta unique name jirani😂😂Haha dah! mbona tunafanyiana hivyo jirani, hadi nimebubujikwa machozi ya kimwashambwa.
😀
Itakuwa ni PTSD + pombeNakumbuka kuna dada mmoja nilikuwa nafanya naye kazi,yeye kila mkitoka mmeenda kiwanja,akilewa tu anaanza kulia kwa uchungu sana,sema nilikuwa simuelewi kwanini analia lakini,ni mzuri sana yule dada sana tena sana,sijui shida nini
dah kweli heavyweight 😂🤣Mapenzi, shemeji yako alinipiga na kitu kizito kichwani... Tangu miaka hiyo hadi leo niliachanaga na mchezo huo wa kitoto(wa kupendana pendana)😅😅
Bro wame ua tayari 😂🤣Nipo chini ya mti hapa nagonga pepsi mda sio mrefu hawa polisi ntawafundisha Kishindo cha wakoma😁😁😁