Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
- Thread starter
- #61
ni kweli nakumbuka niliachwa ile paap! 😀 😀aaah ila ndugu yangu haya mambo uamue wewe kumuacha ila sio uachwe ile paaap
NILISHANGAA KWANINI napiga simu hapokei, text no response nikiweka miadi ananikwepa, akaja kujibu nikamuuliza "mi na wewe ndio basi tena?" akajibu herufi tatu tu "yah". Niliumia kichizi mpaka nikawa najicheka mwenyewe, yule mbwa yule kmmk zake hata sikumkosea chochote hata hakunipa sababu.