Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

Mapenzi, shemeji yako alinipiga na kitu kizito kichwani... Tangu miaka hiyo hadi leo niliachanaga na mchezo huo wa kitoto(wa kupendana pendana)
Haha pole sana kiongozi, ile michezo ya kuleteana breakfast kwa bed tuwaachie wazungu, maana sisi hatuchelewi kuchomana na chai.
 
Aaah aseeee umejua kumkatili aseeee,,huogopi zamu yako baadae huko
Mapenzi ukiyachukulia kwa userious utaumia ukonde kwa mawazo, we unaweza kuwa na mpenzi upo dar yeye yuko mwanza kwa zaidi ya miaka miwili?
 
Sa si unampa nauli anakuja mkuu au yeye kam anayo ajeee
mambo yake yote yapo huko kasema hawezi kuyaacha akahamia huku, kwa upande wangu life ya hivyo siwezi, huko aliko najua yuko na nani, anafanya nini, kuna kipindi hakupatikana miezi miwili na sio mara moja ilijirudia hakupatikana tena miezi mitatu for no good reason. Wazaramo wanasema "wewe kuweza?"
 
Aaaaaah apo kweli,nipo upande wako
 
ndo nanyamaza hapa nimeingia kutafuta ahueni huku🙌🏾
 
Aaaaaah apo kweli,nipo upande wako
Hata kama anadai ananipenda sana tena sana, kiukweli vitendo vyake vimenikata sana, cha kujitesea nini kijana wa watu ndio kwanza nauanza ujana ngoja kamoyo katulie kwanza.
 
Nililia Sana nilipomkuta Kanisani jioni akisali kwa Sauti na kulia Sana akisema "Nimezini Mimi...Nimezini Mimi".
Alindanganya Bikkra wakati huo huo anapigwa miti na walimu.
Inasikitisha sana kwahio akawa anakubania tunda kwa uongo wa "bikra" kumbe walimu wanamla kimasihara!
 
Hata kama anadai ananipenda sana tena sana, kiukweli vitendo vyake vimenikata sana, cha kujitesea nini kijana wa watu ndio kwanza nauanza ujana ngoja kamoyo katulie kwanza.
na vitendo ndo mapenzi yenyewe,kama yanakutia wasiwasi basi kimbia usigeuke nyuma kamwe.
 
Jana tu baada ya kuangalia video hii, kusema ukweli nililia japo nilikua sehemu yenye mzunguko wa watu wengi ila nililia kiume.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…