Mara yako ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

ni bora mzigo unakula mkuu
 
🤣🤣🤣🤣
 
Aisee niliaibika saana maana nlikariri maneno mengii mazuriiiii... Nkawa nayarudia kila mara ili nkifika nishuke nayo Kama nguliii... Yaani nlivo muita tukawa tunaangaliana huku akisubiri niongee... Aisee kichwani sikuwa nakumbuka hata neno mojaaa... Akili ikanijia nimuambie samahani tutaongea siku ingineee.. ile namwambia nkashangaa sautii haitokii yaani nikawa kama namnongoneza... Ikabidi nimpungie tu kwamba byeee
 
Dah...kwa kifupi sijawahi kutongoza...msemakweli mpenzi wa Mungu...
Kutongoza ni kughilibu kwa maneno ya uongo kwa minajili ya kupata huduma au kitu Fulani 🤭
 
Daa mm nilimtongoza kwa barua maana simu zilikuwa hakuna nikampa mdogo James Rip ampelekee baadaya siku mbili tatu dogo akanipa barua ya majibu makopa kopa Kama yetu nilijiona kidume ndio akawa mpenzi wangu nikawajingongea tu siku ya Kwanza nilimgonga kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kifala sanaa.
 
Me kusema ukweli sikuwah kumtamkia mwanamke yoyote kuwa nampenda yn huwa tunajikutaga tu tuko kwenye Mahusiano.... Ila crush wangu wa kwanzaa nakumbuka nlitongozewa na bro, akaja kuniuliza kama kweli nimemtuma bro nikakataa katakata, akasepa akanambia baki na uoga wako kama kunguru,, aftr 3 yrs nlimtaftaa tukaingia kwny mahusiano...Alinipenda sanaa
 
Mara yangu ya kwanza kutongoza niko form 4

Cha Kwanza mtoto anashoboka kishenzi
Ananielewa nikajitia uandunje nikapata namba yake nikamtongoza

Akanitolea nje akaniambia umekosa kazi ya kufanya mpka unitongoze mimi nikamuomba samahani kedekede

Nilikuwa naogopa kichiz ukicheki nilikuwa na status ya kikontawa plus nilikuwa kichwa


Ila hakuacha kunishobokea kuna kipindi akawa ananitania hivi kunguru unajua kutongoza kweli


Mi hapo namuangalia tu nishakoma kutongoza
 
Ni miaka kadhaa sasa imeshapita, wakati huo nipo kidato cha pili, shuleni kwetu akahamia mwalimu fulani wa kike kutoka Machame huko.......kuhamia kwake sio stori, stori ni binti yake aliyehamia nae.

Oliver alikuwa kidato cha tatu kanitangulia, mtoto wa kichaga alikuwa ni kisu balaa kila mmoja anajitahidi kwa kadri awezavyo kutupa vocal zake ili amnase Oliver, mi sikuwa na umaarufu wowote pale school, kucheza mpira sijui, darasani nilikuwa KILAZA mmoja mzuri tu, kwa hiyo sikuwa kwenye nafasi yyte ya kumshawishi nimgegede.

Ikaja bahati nzuri jumamosi moja amepita mitaa ya home akaniona akaja hadi pale, nyumbani tulikuwa na bustani kubwa tu iliyokuwa pia na miti ya matunda, akapenda zaidi Miwa, Tende na Mapera......nikasema hapahapa kaisha huyu, nikajipa kazi ya kila siku nabeba nampelekea, urafiki wetu si ndio ukaanzia hapo.

Shuleni muda wa mapumziko atanitafuta akinipata tunaenda darasani kwetu tunakaa wawili tu tunapiga stori nyiiiiiingi lakini kumtongoza nashindwa, rafiki zangu wakiniuliza kuhusu Oliver nawaambia nimeshapiga pale, habari zikavuma na mimi sasa nikaanza kupata umaarufu shuleni kwa kumgonga Supa staa Oliver.

Siku moja tuko wawili tu darasani (kumbe kuna watu huwa wanakuja kutuchungulia kujua tukibaki wawili huwa tunafanya nini) na siku hiyo mi nikawaza kuwa labda keshanielewa lakini anasubiri hadi nimwambie, na kumwambia ndio siwezi......nikaamua kwamba vitendo vitaongea tu na yeye ataeleweka.....

Siku hiyo ndio niliingia mlango wa kutokea......

Kwanza alishangaa namkumbatia, bado mshangao haujajiweka vizuri kichwani mwake nikawa nafanya juhudi kumlaza chini huku navuta sketi yake.......nilistukia kitu kama ubao mgumu umetua usoni, kumbe kanitandika kofi zito, wakati bado nyotanyota hazijaisha machoni akanikwida akanibamiza ukutani na kwa ghafla sana akaachia ngumi moja kali ikatua usoni, aisee Oliver alikuwa mbabe sana yule Mchaga.

Nikaona netiweka inapotea kwa haraka sana...

Nikajitutumua na mi kuachia ngumi nikawa mfupi mikono yangu haimfikii, akaachia ngumi nyingine nzito sana ikatua mdomoni, mdomo ukapasuka ukaanza kutoa damu, wakati nashangazwa na ile damu nikafanikiwa kutupa jicho dirishani nikaona wanafunzi wamejaa madirishani wanachungulia, wakati natafuta mbinu na mimi nioneshe ukakamavu kumbe nimekosea nikateleza.....chali yeye juu mimi chini.

Kanikaba kwenye koromeo pumzi haitoki nakung'utwa ngumi za uso, wanafunzi wanashangilia, uzalendo ukanishinda mwanaume nikapiga kelele hadi walimu wakaja kutuachanisha, hakuna aliyekuwa tayari kutaja sababu za ugomvi wetu, kwa hiyo tukajikuta wote tumepewa adhabu ya kufanana.


Aminini msiamini.....

Nimekuja kukutana na Oliver mwaka jana akiwa mrembo maradufu halafu ni mpole hana ubabe wake kama wa wakati ule, nikamgegeda kiulaini sana, japo nadhani wengi wenu mtakuwa mnazifahamu changamoto za baadhi ya hawa dada zetu wa kichaga kwenye kugegedana ni ZERO.
 
Kujua ngumi kote kule kumbe kushonana hajui
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kmmk
 
Ungekuwa mvulimivu mapigo yake ungeyazoea tu.
 
Mkuu pole sana, nimecheka sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…