Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Uzoee mtalimbo?Ungeendelea nae baadae ungezoea tena ungekuwa una-enjoy kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzoee mtalimbo?Ungeendelea nae baadae ungezoea tena ungekuwa una-enjoy kwel
Sasa je? Kwan ujui practice makes perfectUzoee mtalimbo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] dhaaaa humuUzoee mtalimbo?
Oo kumbeSasa je? Kwan ujui practice makes perfect
NdiyoOo kumbe
Sawa,ila kujifanya unazoea ndefu mwisho wa siku utakosa kizaziNdiyo
Nan kakwambia!?Sawa,ila kujifanya unazoea ndefu mwisho wa siku utakosa kizazi
Bila shaka barua yenyewe ndio hii hapa [emoji23]Daa mm nilimtongoza kwa barua maana simu zilikuwa hakuna nikampa mdogo James Rip ampelekee baadaya siku mbili tatu dogo akanipa barua ya majibu makopa kopa Kama yetu nilijiona kidume ndio akawa mpenzi wangu nikawajingongea tu siku ya Kwanza nilimgonga kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kizazi hiki sio kabsaAlikufundisha kuwa uasherati ni dhambi😂😂😂😂.
Hapo ukujiuliza hali haliyonayo mke wake?
🤣🤣🤣🤣 hatari sana hiyoMara ya Kwanza kwa msaada wa rafaiki yangu alinisaidia kuiandika barua alafu akaipelekaa bwanaa soon tu jibu la kukubaliwa likaja sasa mm Tena nikawa muogaa kinyama. Nikimuona namkwepaa yaani nikikaa nayee naongea vitu ambavyo hata havielewekii enzi za utopolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sawahntarudi
mambo si mambo aiseeeHivi kwanini ukiwa unatongoza maneno yanakuwaga yanapotea! Yan unakuja jiuliza imekuaje naogopa mwanamke!
Daaah sadaPopote ulipo sada utakuja kunikumbuka mbwa wewe
🤣🤣🤣🤣Bila shaka barua yenyewe ndio hii hapa [emoji23] View attachment 1766627
huenda kila mtu ana mzuri wakeHumu huwa kuna uongo sana eti kila mtu demu alikuwa kisu balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameshaolewa na ticha mmoja hivi,Saizi vipi, mnawasiliana? Anasemaje?