Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

Screenshot_20210610-015702.png
 
Getjar.com
Ovistore.com
Mp3skull.com
Hulkshare.com
wale GPRS na hasa Nokia najua tuko pamoja
Tulikua wavumilivu. Kitu kina load dakika 2 kufungua pange ila tunavumilia.

Sahivi mtandao ukigeuka tu 3G watu wanalalamika.
 
Ila maisha ya mtandaoni kabla ya 2012 yalikuwa ya kuchekesha kidogo
 
Waptrick, nimekumbuka action games kama gangster, splinter cell enzi hzo ndio zilitamba sana
 
Nime Google nimeiona pia bado ipo.

[emoji3][emoji3] mimi nilienda kutafuta wa kuchat nao, wengi walikua wa nje ya Tz
nilikuwa nafikiria hili jina
hivi bado zipo

sijui hata nilifuata nini huko!!!
 
Tulikua wavumilivu. Kitu kina load dakika 2 kufungua pange ila tunavumilia.

Sahivi mtandao ukigeuka tu 3G watu wanalalamika.
Kabisa mkuu,unapakua nyimbo mb2 kwa dk 30 na simu haiminimize huwez gusa popote, inafika 99% inafeli unatakiwa kuanza tena😆😆😆.

Yan siku nzima unatadownload nyimbo 1 na hulalalmiki dah...maisha yako kas sana
 
Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano

[emoji117]Waptrick
[emoji117]Toxicwap
[emoji117]Redwap

Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?[emoji23] Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
Darhotwire
Mzibo
Mig33
 
Back
Top Bottom