Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
KabisaAngekuwepo yule mzee angesingiziwa hili kuwa kahusika nalo
Alieuwawa ni nani na angekuwa na interest gani na huyo mzee?Angekuwepo yule mzee angesingiziwa hili kuwa kahusika nalo
Ingekuwa kipindi kile ungesikia WASIOJULIKANA. Naamini hawa wanajulikanaMkazi wa Dar es Salaam, Zitta Samson Magige, amekuta amekufa huku akiwa na jeraha linalodaiwa ni la risasi. Mwili wake ulitelekezwa Barabarani huko Nyamongo
Alienda Kwao Nyamongo Tarime kwaajili ya Harusi ya Mdogo wake.
HahahaAngekuwepo yule mzee angesingiziwa hili kuwa kahusika nalo
Sielewi ila nachojua tu lawama zingeenda kwa mzee baba.Alieuwawa ni nani na angekuwa na interest gani na huyo mzee?
Unazingua bablai, watu mbona wanauwawa daily. Sio wote angelaumiwa ila kuna ambao dot zilikuwa zinaunganika kwake ndio maanaSielewi ila nachojua tu lawama zingeenda kwa mzee baba.
Sahivi asali inaliwa kwa kwenda mbele hata mkifa 100 hatumsingizii mtu hapa!.Angekuwepo yule mzee angesingiziwa hili kuwa kahusika nalo