Mara: Zitta Samson Magige auliwa na watu wasiojulikana

Mara: Zitta Samson Magige auliwa na watu wasiojulikana

Sasa mbona kipindi cha jiwe hali ilikua nafuu zaidi ya sasa?
Si kweli, yalikuwa hayasemwi maana kila mmoja likuwa mwoga. ya sasa ni personal issues kati yao and not the state. mauaji ya sasa hayahusishwi na state! watu wangesema mana sasa kuna unafuu sana wa kusema
 
Mkuu unataka kusema mauaji ya wakati wa JPM ni sawa na mauaji ya sasa? nazungumzia uwingi
 
Si kweli, yalikuwa hayasemwi maana kila mmoja likuwa mwoga. ya sasa ni personal issues kati yao and not the state. mauaji ya sasa hayahusishwi na state! watu wangesema mana sasa kuna unafuu sana wa kusema
Mbona taarifa ya mauaji ya watu 20 kilosa haijaripotiwa?
Na imetokea juzi tu hapa week ya Jana.
Ambapo watu 20 wameuawa kwa sumu.???!!

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
MWANAMKE NDIYE CHANZO CHA MATATIZO YOTE ULIMWENGUNI.

NGOJA WAFE WAPUNGUE
 
Duuuuh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sababu nn haswaa, mapenzi au biashara??

Afu kwann wauaji wanaenda kuua wahusika wakiwa nyumbani kwao kabisa.?
Uwiiiiiiiiih
 
Binadamu tukitaka angalau kuwa safe tujiepushe na dhuluma, wizi, ulaghai, tamaa, uongo, utapeli na maovu mengine dhidi ya binadamu wengine, siyo kila mtu atamwachia Mungu ukimfanyia hayo lazima atalipiza tu kwa namna yoyote ile. Personally huwa nachukulia zile amri kumi za Mungu kama principles za kumuongoza binadamu ili awe salama
 
  • Thanks
Reactions: Auz

Kweli kabisa. Haya mauaji ya mtu mmoja mmoja ukifatilia chanzo chake ni Moja kati ya sababu ulizotaja.
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Kaka swala hili lipo kiroho zaidi, kibiblia mtawala yeyote akiondolewa kwa hila kabla ya wakati wa Mungu hata kama alikua ni mbaya basi damu yake itasumbua sana. Ukisoma biblia utaona visa vingi vya hivi na mbaya zaidi adhabu hua inakua kwa wote taifa zima. Haya mauaji yalianza baada ya JPM kufariki, na haya unayosikia ni machache sana kuna mengine ni ya sumu kimya kimya mengine hayareport, taifa limekumbwa na roho ya mauti. Solution ni kuendelea kuomba rehema mbele za Mungu yamkini kuna siku atatusamehe. Si umeona vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa, tutawalaumu bure hii ni kesi na Mungu na wa kututoa hapo ni MUNGU tuu maana IGP hana uwezo wa kujua kesho fulani atamnyonga mke wake. Ni hayo tuu
Acha kudanganya watu wewe.Watu wanakufa na kuuana toka nchi kuumbwa.mengine ni mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom