Mara: Zitta Samson Magige auliwa na watu wasiojulikana

Sasa mbona kipindi cha jiwe hali ilikua nafuu zaidi ya sasa?
Si kweli, yalikuwa hayasemwi maana kila mmoja likuwa mwoga. ya sasa ni personal issues kati yao and not the state. mauaji ya sasa hayahusishwi na state! watu wangesema mana sasa kuna unafuu sana wa kusema
 
Mkuu unataka kusema mauaji ya wakati wa JPM ni sawa na mauaji ya sasa? nazungumzia uwingi
 
Si kweli, yalikuwa hayasemwi maana kila mmoja likuwa mwoga. ya sasa ni personal issues kati yao and not the state. mauaji ya sasa hayahusishwi na state! watu wangesema mana sasa kuna unafuu sana wa kusema
Mbona taarifa ya mauaji ya watu 20 kilosa haijaripotiwa?
Na imetokea juzi tu hapa week ya Jana.
Ambapo watu 20 wameuawa kwa sumu.???!!

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
MWANAMKE NDIYE CHANZO CHA MATATIZO YOTE ULIMWENGUNI.

NGOJA WAFE WAPUNGUE
 
Duuuuh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sababu nn haswaa, mapenzi au biashara??

Afu kwann wauaji wanaenda kuua wahusika wakiwa nyumbani kwao kabisa.?
Uwiiiiiiiiih
 
Binadamu tukitaka angalau kuwa safe tujiepushe na dhuluma, wizi, ulaghai, tamaa, uongo, utapeli na maovu mengine dhidi ya binadamu wengine, siyo kila mtu atamwachia Mungu ukimfanyia hayo lazima atalipiza tu kwa namna yoyote ile. Personally huwa nachukulia zile amri kumi za Mungu kama principles za kumuongoza binadamu ili awe salama
 
Reactions: Auz
Kweli kabisa. Haya mauaji ya mtu mmoja mmoja ukifatilia chanzo chake ni Moja kati ya sababu ulizotaja.
 
Reactions: FWC
Acha kudanganya watu wewe.Watu wanakufa na kuuana toka nchi kuumbwa.mengine ni mbwembwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…