Mara: Zitta Samson Magige auliwa na watu wasiojulikana

Alienda Kwao Nyamongo Tarime kwaajili ya Harusi ya Mdogo wake.
Ameolewa na alikuwa na duka la Pombe kali Mkoani Dar. [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Zis iz anaza wan,hali kwakweli sio nzuri nchini kwetu sasa hivi....
 
Kafie mbele huko
 
Pale nyamongo vijana wanamiliki sana bastola, sijui ni nani anawapa, Hii mbaya sana, kuna siku watu watauana sana pale Nyamongo maana vijana wakipata tu hela wanamiliki bunduki.
 
Angekuwepo yule mzee angesingiziwa hili kuwa kahusika nalo

Kwa sasa watu wako kimya kama vile hakuna mauaji, watu ni wanafiki haijapata kutokea, uzuri alikua anajitetea anasema hata akitoka kwenye urais mauaji yatatokea tu
 
Nchi imefunguka, tupo kana USA kwa sasa. Ona wamechukua huu utam, kuna miamba ilikuwa inapunguza uzito hapo daily, sad!
 
Kwa sasa watu wako kimya kama vile hakuna mauaji, watu ni wanafiki haijapata kutokea, uzuri alikua anajitetea anasema hata akitoka kwenye urais mauaji yatatokea tu
Hahahah wabongo ni wanafiki sana yani. Kizazi cha wanafiki ndicho hiki tunakishuhudia sasa. Mtu ni mubaya for as long as ha entertain unafiki na mpenda ukweli ila ni mzuri akiwa ana support wizi na ujambazi.
 
Ule uchaguzi wa 2020 jinsi alivyouendesha ni sehemu ya kuupenda ukweli?
 
Yeah ugeni huwa hauishi mkuu. Kuna kipindi unaweza kutokuingia jukwaani miazi kadhaa ukirudi kuna mambo yalishakupita na yakapotea.

So yes mimi ni mgeni.
Basi kuna mzee humu kila kifo unacho kijua wewe cha kuanzia 2015 mpaka 2021 alihusika yeye hata vya marelia tuh ni yeye huyo mzee tena hapa wangesema tunda lake hilo
 
Enzi za yule watu wa kawaida walikuwa salama zaidi kuliko kuliko wasaliti, mafisadi, wakwepa kodi na magaidi.
Sahizi Wasaliti, Mafisadi, Wakwepa kodi na Magaidi ndio wanatamba. Watu wa chini ndio wanasota kila kona ni kipigo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…