BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Yes,......huwezi kujiita tajiri/unaelekea kwenye kuutafuta utajiri halafu hauna bajeti ya kusaidia,.......,may be Kwa Imani yangu ya UISLAM,hii ni lazima..........najua pia zipo dini wapo tayari wamchangie kiongozi wao anunue gari la kifahari la nne,ila hawapo tayari watoe hata kidogo jirani yao afurahie sikukuu na yeyeBajeti ya kusaidia watu tena?
Hakika kaka katibuUmenena mkuu, rafiki yangu mkubwa ni Mimi yaani najipenda mwenyewe then wanafamilia.
Ok mkuuNtaandika kitu hapa ngoja nipate utulivu..
Mkuu vipi bado contact yangu unayo 😆 😂Jana i was revising my phone book. Nimepunguza contacts from 600 to 175
una jua hasira na kumbukumbu ni simu Tisha kwa akili na roho zetu ?, acha liende usi weke moyoni kivile.unintended lkn hii kauli haitotoka milele kwenye moyo
Labda nyie matajiri ila mimi bajeti yangu mwenyewe haitimii halafu niweke bajeti ya random person, never.Yes,......huwezi kujiita tajiri/unaelekea kwenye kuutafuta utajiri halafu hauna bajeti ya kusaidia,.......,may be Kwa Imani yangu ya UISLAM,hii ni lazima..........najua pia zipo dini wapo tayari wamchangie kiongozi wao anunue gari la kifahari la nne,ila hawapo tayari watoe hata kidogo jirani yao afurahie sikukuu na yeye
Hiyo ingekuwa ni Cashbook tungesema Dr side imekuwa oveestated, sasa ume rectify kwa kuandaa Revised Cashbook ,and the balance now tallyJana i was revising my phone book. Nimepunguza contacts from 600 to 175
I get your point, haiwezekani una madeni hujui uyalipeje na bado umsaidie mtu kwa lazima eti kisa rafiki utajikuna unapofikiaLabda nyie matajiri ila mimi bajeti yangu mwenyewe haitimii halafu niweke bajeti ya random person, never.
Kabisq mkuu hilo swali la sikuhizi ukowap au unafanya mishe gani huwa silikubali thus wadau wangu wengi nliosoma nao nawakachaTAtizo hapo wewe unatembelea makalio mwenzio anatembele miguu na aliongopa ungemuuliza siku hizi uko wapi mwenzangu.
Ukiona nimepost status basi jua umepita kwenye mchujo 😂.Mkuu vipi bado contact yangu unayo 😆 😂
Leo ume post??Ukiona nimepost status basi jua umepita kwenye mchujo 😂.
Maana nili set hata nipost siwez jua nani ka view au lah. Wala ya kwako niki view huwez jua.
So kikubwa ukiona nimepost status basi jua umebaki kwenye phone book yangu
Hapana..nina kama week 1 hiv niko kimya kabisaaLeo ume post??
Naijua hio, mtu kakutenga muda mrefu tena mbaya zaidi yeye ndie alikuwa chanzo ila out of no where anataka mrudiane utadhani hakuna kilichotokea, na ukiona hivyo ujue huko alikoenda hana uhuru kama alivyokuwa na wewe, watu aliokutana nao wamemtumia, upweke, n.k.Hakika hata nikijaribu kurudisha moyo nyuma nashindwa, Kuna siku alinitafuta akawa anaongea as if hakuna kiliwahi kutokea ila nikasema hapana, wema unintended lkn hii kauli haitotoka milele kwenye moyo
unazungumziaje mtu mliekuwa marafiki mnatafutana kila muda ila moja akitoboa hapokei simu za mwenzake ?Ukitaka kujua watu ni washenzi ukitoboa ndo watakutafuta.
una bahati, unge kula tusi la kikenya😂🤣Hapana..nina kama week 1 hiv niko kimya kabisaa
Sahihi hata kabla ya hilo alikua akisema mimi ni rafiki ambae tumeelewana na nilimpenda yani utengano wetu ulikua kama break ya mapenzi ya girlfriend na boyfriend iliniumiza kupita maelezo lkn kidogo nafuu naiona ktk nafsiNaijua hio, mtu kakutenga muda mrefu tena mbaya zaidi yeye ndie alikuwa chanzo ila out of no where anataka mrudiane utadhani hakuna kilichotokea, na ukiona hivyo ujue huko alikoenda hana uhuru kama alivyokuwa na wewe, watu aliokutana nao wamemtumia, upweke, n.k.
Ninao wengine nimewapa ramani ya do this do that...ila wakatangulia kutoboa leo hii wanatuina tuna mawazo ya kimaskini...it's just a matter of time na sisi tutatoboa Kisha watasema " Naona mambo yamejipa" kama walivyomwambia jamaa mmoja huko juu.unazungumziaje mtu mliekuwa marafiki mnatafutana kila muda ila moja akitoboa hapokei simu za mwenzake ?