Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka, tuliowahi kuwa mabesti nao leo tunaishia kuchunguliana status hata "hi" hakuna

Mna
Mnafiki huyo....
 
Aaamin!
 
Sisi wapenzi wa mchezo wa drafti tuna marafiki wengi hadi wanamwagika. Kama we mwanaume jaribu kutembelea vijiwe vya drafti. Utashangaa marafiki unaopata. Hata kama si muongeaje utapata tu marafiki. Ila tu usitake mambo ya uongo uongo eti best best.
 
Hakuwa mwema.
 
Hatupendi ila dunia inatuchuja kila mtu na level yake na hamuwezi tena kuwa pamoja km level zenu za maisha ni tofauti..

Dunia ni uwanjani wa fujo wa hatma.
 
Exquisite comment !


Kudos !
 
Ha ha ha ha awesome....

Nimeipenda hii....


".....urafiki ni dhamira ya kutaka wengine wafanikiwe". Exquisite!!
 
Kama wote tuliokuwa na kusoma pamoja maisha yetu yangekuwa mazuri urafiki wetu ungeendelea maradufu kinyume cha hapo lazima ukaribu utapungua tu maisa yapo hivyo mkuu japokuwa inaumiza
 

Mie nimechoka kuwafuatilia maana napiga simu tunaongea as if sasa tutaendeleza mawasiliano, wapi...Kila mtu apamabane na hali yake!
 
Hii tabia bongo sijui nani kaileta, yaani mtu kwenye shughuli yake anataka umchangie kiasi alichokuchangia wewe au zaidi na umtunze kiasi alichokutunza wewe au zaidi.

Ile tabia iliyokuwepo zamani ya kumpa kitu mtu kwa moyo wote bila kutegemea malipo siku hizi haipo.

Mtu hajali unacho au huna kwa wakati huo.
 
Yani ajabu sana..sasa bora angekua yeye mwenyewe ni mdogo wake...eboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…