Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
- Thread starter
-
- #21
Kabisa mkuu tumeona mengi56 sio haba🥶
Bado mi3 amfikie mzee wangu si haba kwakweli🥵56 sio haba🥶
Kwanini umpe mtoto JD imepauka hivyooView attachment 3535634
Ishi sana JD😍
Kwani kuna kipindi miaka ilikuwa haiendi?Hakika miaka inaenda sana, niliyekuwa namuona mtoto wa '95 eti nae ni mama kabisa!!
😂Kwani kuna kipindi miaka ilikuwa haiendi?
ah,Bado mi3 amfikie mzee wangu si haba kwakweli🥵
Miaka haijawahi kusimama.
Kadri majukumu yanavyokuja, ndio unavyoona muda/miaka inaenda. Ukiona mtu anasema miaka inaenda maana yake majukumu yamekuwa mengi..Kwani kuna kipindi miaka ilikuwa haiendi?
It's not true.ah,
but age means nothing it's just a number.
Mambo ya gizani halafu uforce kupiga picha bila flashlight mkuu😁Kwanini umpe mtoto JD imepauka hivyoo
Hakuna siku majukumu yalikuwa machache.Kadri majukumu yanavyokuja, ndio unavyoona muda/miaka inaenda. Ukiona mtu anasema miaka inaenda maana yake majukumu yamekuwa mengi..
Mbona maini yake yako poa bado!!JD ni muda upunguze sukari na chumvi nyingi. Pia kukamia show sio kipindi chako tena..!!
Vizee vyenzangu vitarajiwa sisi haya haytuhusu tuendelee kuzinesa 😹
Au sio, majukumu yako ukiwa single na sasa una watoto wanne ni sawa.Hakuna siku majukumu yalikuwa machache.
Miaka yote, majukumu ni mengi tu.
Hivi huwa ina maana gani hii statement sinawahi ielewa..ah,
but age means nothing it's just a number.
Weka night modeMambo ya gizani halafu uforce kupiga picha bila flashlight mkuu😁
😁😁 utakuja kushtuka alfajiri ooohah,
but age means nothing it's just a number.
Tunawika vizuri, na hakuna shidoo 😁It's not true.
Mwanamke mwenye 30 years hawezi kuwika kama binti wa 18 to 25 years.
Age isn't just a number.