Marafiki, ndugu na wadau wote wa jukwaa hili

Marafiki, ndugu na wadau wote wa jukwaa hili

Au sio, majukumu yako ukiwa single na sasa una watoto wanne ni sawa.
Sema labda huwezi kuelewa, au umekomaza fuvu.
Majukumu yanabadilika si kwamba yanapungua.

Kuwa single kuna majukumu yake mengi tu.

Pia ukiwa na watoto kuna majukumu yake mengi tu.
 
Tunawika vizuri, na hakuna shidoo 😁
Mbona sasa nyuzi za wanawake wanao tafuta wanaume wa kuwaoa ni nyingi sana humu JF?

Kama wanawika kweli, kwa nini, wanahangaika hadi kuandika nyuzi?
 
Point yako namba kumi " ishi maisha yako" inapingana na points zote tisa.

Kama kila mtu "anaishi maisha yake" Huwezi kuwaambia watu waache pombe, kutongoza, kuposti status, kuanza kusali. Maana una ingilia maisha yao binafsi waliyochagua kuishi.

Waache waishi maisha yao. Kama point yako namba kumi inavyosema.
Ahaaa maana yangu ni kwamba wachukue yanayowafaa kwakuwa maneno yangu si Sheria Bali ni ushauri
 
Panawika.. binafsi naonaga wanaume ndio nyuzi nyingi ukilinganisha na wanawake..
Hata na kwa wanaume pia, Age isn't just a number.

Kama sio shida na umaskini wa mabinti wengi, Hakuna binti anapenda kuolewa na lizee, lenye miaka mingi.

Kila mtu anataka kitu fresh.

Sasa kadiri umri unavyo enda, ule u fresh, unapungua.
 
JD ni muda upunguze sukari na chumvi nyingi. Pia kukamia show sio kipindi chako tena..!!

Vizee vyenzangu vitarajiwa sisi haya haytuhusu tuendelee kuzinesa 😹
Kumbe huwa kuna kukamiana,kama vile ni vita
 
Miaka 56 si michache alhamdulillah
Si haba mkuu 56, hayo hapo juu yanakustahili pasina shaka yoyote.
Nasi tunao kuambata yatupasa kuyaishi hayo .

Langu la kuongezaa kama mji hausomeki tusisahau kurudi nyumbani tuliko zaliwa pata picha mwaka wa 50 wakuzaliwa bado umepanga chumba!
 
Back
Top Bottom