Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Majukumu yanabadilika si kwamba yanapungua.Au sio, majukumu yako ukiwa single na sasa una watoto wanne ni sawa.
Sema labda huwezi kuelewa, au umekomaza fuvu.
Mbona sasa nyuzi za wanawake wanao tafuta wanaume wa kuwaoa ni nyingi sana humu JF?Tunawika vizuri, na hakuna shidoo 😁
Panawika.. binafsi naonaga wanaume ndio nyuzi nyingi ukilinganisha na wanawake..Mbona sasa nyuzi za wanawake wanao tafuta wanaume wa kuwaoa ni nyingi sana humu JF?
Kama wanawika kweli, kwa nini, wanahangaika hadi kuandika nyuzi?
We Acha Tu mkuuTunaomba mwisho mwema! Magonjwa ya uzee mazito
We mjaze mwenzio akushtue ngiri 😹😹Mbona maini yake yako poa bado!!
Kikubwa label imeonekana bwana😅Weka night mode
Kabisa mkuu umenena vemaKadri majukumu yanavyokuja, ndio unavyoona muda/miaka inaenda. Ukiona mtu anasema miaka inaenda maana yake majukumu yamekuwa mengi..
Ahaaa maana yangu ni kwamba wachukue yanayowafaa kwakuwa maneno yangu si Sheria Bali ni ushauriPoint yako namba kumi " ishi maisha yako" inapingana na points zote tisa.
Kama kila mtu "anaishi maisha yake" Huwezi kuwaambia watu waache pombe, kutongoza, kuposti status, kuanza kusali. Maana una ingilia maisha yao binafsi waliyochagua kuishi.
Waache waishi maisha yao. Kama point yako namba kumi inavyosema.
Hata na kwa wanaume pia, Age isn't just a number.Panawika.. binafsi naonaga wanaume ndio nyuzi nyingi ukilinganisha na wanawake..
Kumbe huwa kuna kukamiana,kama vile ni vitaJD ni muda upunguze sukari na chumvi nyingi. Pia kukamia show sio kipindi chako tena..!!
Vizee vyenzangu vitarajiwa sisi haya haytuhusu tuendelee kuzinesa 😹
Tusikamiane Hiyo veeepee.!!Kumbe huwa kuna kukamiana,kama vile ni vita
🤣🤣🤣Tusikamiane Hiyo veeepee.!!
Kuna sherehe iliyowahi kukosa vigeregere? 😹😹😹
Show show we mzee veepee.!!
umri ni namba tuHivi huwa ina maana gani hii statement sinawahi ielewa..
umri ni namba tu😁😁 utakuja kushtuka alfajiri oooh
Hongera mkuuMiaka 56 si michache
Si haba mkuu 56, hayo hapo juu yanakustahili pasina shaka yoyote.Miaka 56 si michache alhamdulillah
Binti sayuni naona umeshika kinywaji changu pendwaView attachment 3535634
Ishi sana JD😍
Aisee JD ni kitu ingine mzee😂 ni tamu unaweza kata chupa mwenyewe😃Binti sayuni naona umeshika kinywaji changu pendwa
Kumbe tuko pamoja?! Basi barida😀Aisee JD ni kitu ingine mzee😂 ni tamu unaweza kata chupa mwenyewe😃