Marafiki wa kweli ni wa utotoni

Marafiki wa kweli ni wa utotoni

Ishi umo Kama wewe mzinzi tafuta mzinzi mwenzio Kama mlevi tafuta mlevi nk

Mkuu si kweli, nna marafiki tulikuwa tunaenda Club wanagida mimi ndio nashika simu zao na wallet.
Nakula jani wao wanaenda na fegi, chapa ilale ila mimi na manzi yangu moja tuu.

Ila memories za primary mtaani, mpira na kazi ndio zimetuunda friendship kama familia, sometime urafiki kuna factors ambazo hazina maslahi zinawachagua naturally
 
Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki halisi bali ni marafiki kwa sababu fulani

Hawa ni mpaka mkae muda mrefu sana pamoja kwenye hali zote shida na raha, kukosa na kupata, kuumia na kuumizwa! Wengi wao rangi zao halisi hujifunua huku!

Rafiki uliyekua naye mkasoma wote shule ya msingi, mkacheza pamoja, mkachunga pamoja,mkalima pamoja mkatembeleana, mkacheka pamoja mkalia pamoja, familia zenu zinafahamiana ndugu zenu wanafahamiana.. Hawa ndio huwa marafiki wa kweli kwakuwa bond wanayoijenga huwa na vyanzo vingi.. Hawadahauliani na ni vigumu mno kusalitiana!

Tunakutana na watu wapya kila siku, wema na wabaya! Na wabaya waliojificha kwenye joho la wema! Sio dhambi kuwa na marafiki wapya! Maisha ni watu bila watu hakuna maisha ama maisha yanakuwa hayana maana!

Rai tangu ni hii kuwa makini sana unapochagua marafiki wa ukubwani.. Wengi ni marafiki wa agenda.. Wengi ni marafiki kwa sababu . Agenda ikiisha/ikifa ama sababu ikikoma na urafiki nao hufika tamati

Ninao marafiki wengi na ninawaamini sana ila baadhi wameniachia makovu .. Siumii kwakuwa natambua marafiki wa kweli ni wale wa utotoni[emoji2827]

Kuna movie fulani inaitwa “La cité de dieu” au “City of God” kuna jamaa anaitwa Dadinho au Ze pequenho ni mtu mbad sana, mlevi, muuaji ,mbakaji, muuza ngada ila ana rafiki yake mmoja wa utotoni anaitwa Benne ni marafiki wa utotoni kutoka kwenye Favela za Brazil huko,.
Wana tabia tofauti kidogo ila wana chemistry, Ze pequenho huwa anamuelewa Benne tuu.
Hii movie ina funzo zuri la maisha urafiki

IMG_8972.jpg
 
Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki halisi bali ni marafiki kwa sababu fulani

Hawa ni mpaka mkae muda mrefu sana pamoja kwenye hali zote shida na raha, kukosa na kupata, kuumia na kuumizwa! Wengi wao rangi zao halisi hujifunua huku!

Rafiki uliyekua naye mkasoma wote shule ya msingi, mkacheza pamoja, mkachunga pamoja,mkalima pamoja mkatembeleana, mkacheka pamoja mkalia pamoja, familia zenu zinafahamiana ndugu zenu wanafahamiana.. Hawa ndio huwa marafiki wa kweli kwakuwa bond wanayoijenga huwa na vyanzo vingi.. Hawadahauliani na ni vigumu mno kusalitiana!

Tunakutana na watu wapya kila siku, wema na wabaya! Na wabaya waliojificha kwenye joho la wema! Sio dhambi kuwa na marafiki wapya! Maisha ni watu bila watu hakuna maisha ama maisha yanakuwa hayana maana!

Rai tangu ni hii kuwa makini sana unapochagua marafiki wa ukubwani.. Wengi ni marafiki wa agenda.. Wengi ni marafiki kwa sababu . Agenda ikiisha/ikifa ama sababu ikikoma na urafiki nao hufika tamati

Ninao marafiki wengi na ninawaamini sana ila baadhi wameniachia makovu .. Siumii kwakuwa natambua marafiki wa kweli ni wale wa utotoni[emoji2827]

Ni kweli kabisa .
Don where are you my real Friend, my heart is asking your presence back
 
Hii ni kweli mimi nikikutana na wale wanangu wa utotoni huwa nawapa hug halafu ule muda mkiwa pamoja mkijadili life huwa kuna amani na utulivu wa akili sana. Unaona kama umekutana na mtu anayekuelewa zaidi ya wote duniani.
 
Mkuu si kweli, nna marafiki tulikuwa tunaenda Club wanagida mimi ndio nashika simu zao na wallet.
Nakula jani wao wanaenda na fegi, chapa ilale ila mimi na manzi yangu moja tuu.

Ila memories za primary mtaani, mpira na kazi ndio zimetuunda friendship kama familia, sometime urafiki kuna factors ambazo hazina maslahi zinawachagua naturally
Ndo walele mlevi plus mvuta bangi ni watu wanashare tabia nyingi
 
Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki halisi bali ni marafiki kwa sababu fulani

Hawa ni mpaka mkae muda mrefu sana pamoja kwenye hali zote shida na raha, kukosa na kupata, kuumia na kuumizwa! Wengi wao rangi zao halisi hujifunua huku!

Rafiki uliyekua naye mkasoma wote shule ya msingi, mkacheza pamoja, mkachunga pamoja,mkalima pamoja mkatembeleana, mkacheka pamoja mkalia pamoja, familia zenu zinafahamiana ndugu zenu wanafahamiana.. Hawa ndio huwa marafiki wa kweli kwakuwa bond wanayoijenga huwa na vyanzo vingi.. Hawadahauliani na ni vigumu mno kusalitiana!

Tunakutana na watu wapya kila siku, wema na wabaya! Na wabaya waliojificha kwenye joho la wema! Sio dhambi kuwa na marafiki wapya! Maisha ni watu bila watu hakuna maisha ama maisha yanakuwa hayana maana!

Rai tangu ni hii kuwa makini sana unapochagua marafiki wa ukubwani.. Wengi ni marafiki wa agenda.. Wengi ni marafiki kwa sababu . Agenda ikiisha/ikifa ama sababu ikikoma na urafiki nao hufika tamati

Ninao marafiki wengi na ninawaamini sana ila baadhi wameniachia makovu .. Siumii kwakuwa natambua marafiki wa kweli ni wale wa utotoni[emoji2827]

Rafiki wa kweli kabisa wa binadamu hapa duniani kwa asilimia 99% ni mtoto
 
Hii ni kwel kabsa mkuu mshana ,mimi kuna rafiki yangu wa utotoni , nilimtafuta kwenye mtandano alikua anafanya kazi dodoma , na mimi nasoma dodoma ,tulipanga tukutane bahati mbaya msela akapata ajali siku mbili kabla ya kuonana akafariki , mpka Leo namwota kwenye ndoto anakuja ila anashindwa kabsa kunifikia ,ndoto inakata .
 
Daa

aah pole sana ndugu
 
Nina marafiki lkn si wa kihivyo ni km vile kuwa na watu wa kushauriana,kuzogoa na kutiana moyo kimtindo huku kila mmoja akiwa hana will ya dhati kwa wewe kufanikiwa kiufupi nina watu ninaojuana na na si intimacy

Maana huo tunaouita urafiki kipindi hiki upo kwa wachache sana.....ukimuuliza Peter rafiki yake haswa ni nani atakutajia rafiki yake mkubwa ni John,ukimfuata John ukimuuliza swali hilohilo atakutajia kuwa rafiki yake wa karibu ni Juma na ukimfuata Juma nae atakutajia mtu tofauti kabisa

Hii ina maana kuwa rafiki yako mpenzi nae ana rafiki yake mpenzi ,kilichopo ni kunafikiana ndo maana kwa upande wangu, nilionao ni watu ninaojuana na siwaweki kwenye urafiki wa tabu na raha,chake changu na changu chake la hasha
 
Back
Top Bottom