Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kimsingi Marafiki wa Tundu Lissu ni Wananchi wote wa Tanzania, kasoro Viongozi wa Tanzania na familia zao, Mashemeji zao na Chawa wao.
Kwa maana hiyo hii ni siku ya Maombi Kitaifa
Chawa wa mwashwambwaSawa
Karibu sanaSawa
Mwenyezi Mungu akasimamie na akapate kujibu maombi ya Sisi Marafiki wa Tundu Lissu.View attachment 3376957View attachment 3376958
Kimsingi Marafiki wa Tundu Lissu ni Wananchi wote wa Tanzania, kasoro Viongozi wa Tanzania na familia zao, Mashemeji zao na Chawa wao.
Kwa maana hiyo hii ni siku ya Maombi Kitaifa
AmenMwenyezi Mungu akasimamie na akapate kujibu maombi ya Sisi Marafiki wa Tundu Lissu.
Yaani hawa Waliombambikizia hii kesi hawana utu kabisa, na madhira anayoyapata kule mahabusu ni kinyume na haki za binadamu.
Halafu kuna mijizi, mjuaji, michawa ipo uraiani inavimba tu. Mungu Baba najua huwa hauchelewi wala hauwahi.
Tunakuomba haki ya Mh. Tundu Lissu ikapatikane kwa haraka na ukawapige kwa ghadhabu yako hawa Manyang'au wanaotesa na kuonea Binadamu wenzao.
Amiin Amiin 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sanaHiyo siku nami nitafanya maombi.
God bless Tundu Lissu .
kwahiyo kumbe siku zote hua hawafanyagi maombi right?🐒View attachment 3376957View attachment 3376958
Kimsingi Marafiki wa Tundu Lissu ni Wananchi wote wa Tanzania, kasoro Viongozi wa Tanzania na familia zao, Mashemeji zao na Chawa wao.
Kwa maana hiyo hii ni siku ya Maombi Kitaifa
Amen MUNGU awatangulie🙏🏾🙏🏾🙏🏾View attachment 3376957View attachment 3376958
Kimsingi Marafiki wa Tundu Lissu ni Wananchi wote wa Tanzania, kasoro Viongozi wa Tanzania na familia zao, Mashemeji zao na Chawa wao.
Kwa maana hiyo hii ni siku ya Maombi Kitaifa
Na watapewa kwenye fuko la MamaHapa Kuna wahuni wanajiandaa kuomba fungu la kuzuia maombi
AmenMwenyezi Mungu akasimamie na akapate kujibu maombi ya Sisi Marafiki wa Tundu Lissu.
Yaani hawa Waliombambikizia hii kesi hawana utu kabisa, na madhira anayoyapata kule mahabusu ni kinyume na haki za binadamu.
Halafu kuna mijizi, mjuaji, michawa ipo uraiani inavimba tu. Mungu Baba najua huwa hauchelewi wala hauwahi.
Tunakuomba haki ya Mh. Tundu Lissu ikapatikane kwa haraka na ukawapige kwa ghadhabu yako hawa Manyang'au wanaotesa na kuonea Binadamu wenzao.
Amiin Amiin 🙏🙏🙏
Sawa.Chawa wa mwashwambwa
Bila shaka ni maombi ya kupata mabwana au mabasha. Mtakaofikiwa na maombi, huyo wa katikati niachieni.View attachment 3376957View attachment 3376958
Kimsingi Marafiki wa Tundu Lissu ni Wananchi wote wa Tanzania, kasoro Viongozi wa Tanzania na familia zao, Mashemeji zao na Chawa wao.
Kwa maana hiyo hii ni siku ya Maombi Kitaifa
Masikini wanawaza ujinga tuBila shaka ni maombi ya kupata mabwana au mabasha. Mtakaofikiwa na maombi, huyo wa katikati niachieni.