Marafiki wa Tundu Lissu Watangaza tarehe 25/06/2025 kuwa siku ya Maombi Maalum

Marafiki wa Tundu Lissu Watangaza tarehe 25/06/2025 kuwa siku ya Maombi Maalum

kwahiyo kumbe siku zote hua hawafanyagi maombi right?🐒

kuwaombea vibaka na matapeli wa kisiasa nchini ni muhimu sana, lakini pia kuwaombea waropokaji kila siku ni muhimu zaidi ndrugu zango.

maombi hayahitaji kiki 🐒
Ng'ombe wa mama
FB_IMG_1750316496064.jpg
FB_IMG_1749459112842.jpg
 
Wakimwombea ili amwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake itakuwa safi sana.
 
Magufuli alitaka kumuua Lissu badala yake akafa yeye kibwege sana!
Kwa maana hiyo hatakuGA. Haya mawazo ya kifala wanayo Wana Chadema tu na ndio hamna tofauti na Magaidi. Na dawa yenu ni kushughulikiwa tu; legally or not! Nyambafu!
 
Biafsi huwa namwombea lisu. Nimefurahi kwa marafiki wa lisu kutangaza siku ya kumuombea lisu.
Natamani makanisa nayo yafanye hivyo ili wakristo wote tupaze sauti zetu. Ukombozi utapatikana.
 
Back
Top Bottom