Mkuu unaposema wimbo pekee wa Mavoko uliotamba akiwa na Wcb ni Sheri unamaanisha nini au na wewe umetumia vigezo gani? Vipi kuhusu hizi ngoma nyingine inamaana zilibuma?
1.Rudi ft. Patoranking
2. Ibaki stori
3.Kokoro ft. Diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Muziki umekuwa mgumu sana.Kwaiyo unataka kutuaminisha msanii hatotoboa ki mziki mpaka awepo wcb?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Humo ndani hakuna identity ya Mavoko, labda ibaki story nao haukufanya vizuri. Kokoro ulitamba lakini sio kwa sauti ya Mavoko, alibafilishwa kwahiyo ni kama hajafanya yeye, Rudi hata sikumbuki kama nilishawahi kuisikiliza, sina data zake kama ilifanya vizuri au lah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ah! We mtoto mzuri kumbe upo?! NImekumbuka... kumbe inabidi niwe natembelea tembelea social forums ili niweze feel uwepo wako! Hopeful uko poa!!
Kosa halikua kuondoka WCB ,Kosa lilikuwa kuondoka WCB bila ya ya kuwa ameshatengeneza mazingira mazuri ya kufanya kazi zake za Sanaa nje ya WCB, MTU km kifesi aliondoka WCB na still anafanya kazi zake vizuri, ...namfananisha mavoko na MTU ambaye alikua ameajiriwa akasikia kuwa kujiajiri kunilipa zaidi ..akaacha kazi ghafla bila ya kuwa na mazingira mazuri ya kujiajiri..,Wengi watasema huu ni udaku but ndio ukweli, mziki wa sasa bila usimamizi mzuri ni mgumu aiseeh.
Niliwahi sema humu kama ni kosa alifanya baasi ni kuondoka WCB.
Jamaa kapoteza mvuto kabisa.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Rudi wimbo mkali Sana , sema umetumia sample kwenye instrumentsHumo ndani hakuna identity ya Mavoko, labda ibaki story nao haukufanya vizuri. Kokoro ulitamba lakini sio kwa sauti ya Mavoko, alibafilishwa kwahiyo ni kama hajafanya yeye, Rudi hata sikumbuki kama nilishawahi kuisikiliza, sina data zake kama ilifanya vizuri au lah
Sent from my iPhone using JamiiForums