Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tueleweshe vizuri hicho chanzoYupo jamaa mmoja alikua mwana sana secondary hata mchongo wa kazi nilimuunganishia, badae akawa hapokei hata simu zangu [emoji23][emoji23] , kumbuka wakati namuunganishia mimi ni jobless
Kama bahati nikapata mchongo kampuni hiyohiyo, jamaa akanikunjia hadi kunigombanisha na familia yangu chanzo ni (..)
Mpaka saivi bado na sort sana rafiki wakua nae
Pole sana baby sisyNilishawahi kuwa nae mmoja tuliyeshibana nikiwa O level...alifariki nikiwa chuo mwaka wa kwanza
Baada ya hapo sijawahi kuwa na rafiki yule wa kushibana kama ilivyokuwa yule ambaye hayupo tena
Zaidi ya hapo rafiki nayekuwa nae ni yule niliye naye kwenye mahusiano ya kimapenzi tu
Hongera mkuu ila hapo kwa rariki yako aliyekusimamia ndoa halafu na wewe ukamsimamia ilikuwaje? Nimechanganyikiwa kidogoNina rafiki mmoja niliesoma nae primary. Sasaivi wote ni watu wazima tuna maisha yetu na familia zetu. Wake zetu wanafahamiana na wamekua marafiki pia...
Asante sana sisPole sana baby sisy
Wengi ni wa kupita. Hata mkikutana mtajikuta hamna stori nyingiSi wakati wote mkuu
NoneHabari za wakati huu
Rejea swali hilo hapo juu...katika maisha ya ukuaji, masomo, utafutaji huwa tunajikuta tunakutana na watu wengi... wengine wanabaki kuwa tu watu tunaofahamiana...
Sisi ndio tulianza kufunga ndoa so yeye na mchumba ake walitusimamia wakiwa hawajaoana bado, sisi tukaja kuwasimamia walipooana.Hongera mkuu ila hapo kwa rariki yako aliyekusimamia ndoa halafu na wewe ukamsimamia ilikuwaje? Nimechanganyikiwa kidogo
Aisee kumbeSisi ndio tulianza kufunga ndoa so yeye na mchumba ake walitusimamia wakiwa hawajaoana bado, sisi tukaja kuwasimamia walipooana.
Hata mimi nilidhani hivyo, ila kipindi chote cha maandalizi ya ndoa hatukuwahi kuambiwa na wala siku walipoenda kanisani kujitambulisha kama wasimamizi wetu hakuna aliyewauliza kama wameoana au la. So tukaendelea.Aisee kumbe
Taratibu za makanisa zinatofautiana maana mimi nilikuwa najua wanaosimamia ndoa ni wanandoa tu kumbe sehemu nyingine wachumba wanaruhusiwa
Ata wa mawazo tu; hakuna.Kwako msaada ni nini boss?