Marafiki zako wa leo, Mustakabali wa Mtoto wako kesho

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
7,450
Reaction score
19,184
Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda.

Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha nini? Kama jibu ni hakuna, basi mtoto wako naye hana cha kupata hapo.

Usiwe mkusanyaji wa watu ovyo. Kumbuka: weka kwenye mfuko kitu chenye thamani. Chagua marafiki wenye akili na ndoto. Ili kesho mtoto wako aseme Baba/Mama alifanya uchaguzi mzuri.

Kuna baadhi ya watoto wanalia Sasa hivi kwa sababu wazazi hawakufanya uchaguzi sahihi wa marafiki.
 
Usiwe mkusanyaji wa watu ovyo. Kumbuka: weka kwenye mfuko kitu chenye thamani. Chagua marafiki wenye akili na ndoto. Ili kesho mtoto wako aseme Baba/Mama alifanya uchaguzi mzuri. 💖🔥💪🏿🙏🏿
 
Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda.

Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha nini? Kama jibu ni hakuna, basi mtoto wako naye hana cha kupata hapo.

Usiwe mkusanyaji wa watu ovyo. Kumbuka: weka kwenye mfuko kitu chenye thamani. Chagua marafiki wenye akili na ndoto. Ili kesho mtoto wako aseme Baba/Mama alifanya uchaguzi mzuri.

Kuna baadhi ya watoto wanalia Sasa hivi kwa sababu wazazi hawakufanya uchaguzi sahihi wa marafiki.
Kuna baadhi ya watoto wanalia Sasa hivi kwa sababu wazazi hawakufanya uchaguzi sahihi wa marafiki😪🥺😭
 
Ukiweza somesha mtoto shule za kueleweka especially high school na chuo…
Huko ndo atajenga connection ya kueleweka.
Rafiki/ndugu faida zao huyeyuka au kukoma pale umuhimu wako kwao unapoisha (ukifa au kufilisika)
 
The attitude you have as a parent is what your kids will learn,
They don't remember what you try to teach them,They remember who you are,
My father didn't tell me how to live,He lived and let me watch him do it.
 
Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda.

Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha nini? Kama jibu ni hakuna, basi mtoto wako naye hana cha kupata hapo.

Usiwe mkusanyaji wa watu ovyo. Kumbuka: weka kwenye mfuko kitu chenye thamani. Chagua marafiki wenye akili na ndoto. Ili kesho mtoto wako aseme Baba/Mama alifanya uchaguzi mzuri.

Kuna baadhi ya watoto wanalia Sasa hivi kwa sababu wazazi hawakufanya uchaguzi sahihi wa marafiki.
Sijaelewa marafiki unaowaongelea hapa, je ni marafiki wa kalamu, girl friend/boy friends?

Maana mtoto wako huakisi malezi ya wazazi wake pamoja na mazingira!

Hapo rafiki anaingiaje, kwanini usiseme majirani na ndugu?
 
Watu wengi hupenda kusema,
Tafuta watu wema ''Good people'' na uwaache watu wabaya,

Lakini Mimi nasema,Tafuta wema,uzuri wa watu uliomo ndani mwao na yale mabaya uwaachie wenyewe,yani unachukua yale mazuri tu na unayoona yatakufaa,huwezi kuwaignore watu wengi coz no one is perfect,

Kila mtu anaweza asiwe mzuri kwako lakini kuna kitu kizuri ndani ya kila mtu,
Usipende kumuhukumu mtu,au kumtengenezea fixed image coz people act differently with different people.
 
Naomba niongeze kidogo:
Ibada kwa Mungu aliyeziumba Mbingu na Nchi + Elimu bora + Ujuzi wa vitendo + Nidhamu + Bidii na juhudi + Maadili mazuri + Vipaji = Mustakabali mzuri wa mtoto wako kesho.
 
Watu wengi hupenda kusema,
Tafuta watu wema ''Good people'' na uwaache watu wabaya,

Lakini Mimi nasema,Tafuta wema,uzuri wa watu uliomo ndani mwao na yale mabaya uwaachie wenyewe,yani unachukua yale mazuri tu na unayoona yatakufaa,huwezi kuwaignore watu wengi coz no one is perfect,

Kila mtu anaweza asiwe mzuri kwako lakini kuna kitu kizuri ndani ya kila mtu,
Usipende kumuhukumu mtu,au kumtengenezea fixed image coz people act differently with different people.
Umeongea vema
 
Sijaelewa marafiki unaowaongelea hapa, je ni marafiki wa kalamu, girl friend/boy friends?

Maana mtoto wako huakisi malezi ya wazazi wake pamoja na mazingira!

Hapo rafiki anaingiaje, kwanini usiseme majirani na ndugu?
Wewe huna rafiki ambao watoto wako wanawafahamu?
Rafiki anaweza kuwa jirani hata ndugu Yako pia.
 
Mtengeneze mtoto wako aje awe mtu mwenye kitu Fulani hapo marafiki hutawalaumu.
Aweze kusimama mwenyewe kwanza na kaa ukijua connection yako sio ya mtoto wako... Mtoto wako atatengeneza yake wewe yako itakuwa kama kilainishi tu.

Binafsi huwa nikiwa kwenye mishe zangu na nikiandika jina full huwa naulizwa huyu Leo dada ni yupi ndio aliyekuwa sehemu flani???? Najibu ndio hapo napata Chaka la kulainisha kazi zangu.
 
Asante. Umenena vema
 
Tengeneza wepesi kwa wanao ama njia mengine watajifunza kwako na kwa wengine

Kwangu bado ndg wana unafuu marafiki wengi nikiwemo mm nahitaji kuwa na unufaikaji

Tusilaumu watu bure
 
Back
Top Bottom