realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
- Thread starter
- #21
Hamna mtu aliyelaumiwa.Tengeneza wepesi kwa wanao ama njia mengine watajifunza kwako na kwa wengine
Kwangu bado ndg wana unafuu marafiki wengi nikiwemo mm nahitaji kuwa na unufaikaji
Tusilaumu watu bure
Ni vema tu kuwa na watu wazuri wanaokuzunguka