Usiwe mkusanyaji wa watu ovyo. Kumbuka: weka kwenye mfuko kitu chenye thamani. Chagua marafiki wenye akili na ndoto. Ili kesho mtoto wako aseme Baba/Mama alifanya uchaguzi mzuri. 💖🔥💪🏿🙏🏿Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda.
Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha nini? Kama jibu ni hakuna, basi mtoto wako naye hana cha kupata hapo.
Usiwe mkusanyaji wa watu ovyo. Kumbuka: weka kwenye mfuko kitu chenye thamani. Chagua marafiki wenye akili na ndoto. Ili kesho mtoto wako aseme Baba/Mama alifanya uchaguzi mzuri.
Kuna baadhi ya watoto wanalia Sasa hivi kwa sababu wazazi hawakufanya uchaguzi sahihi wa marafiki.
Kuna baadhi ya watoto wanalia Sasa hivi kwa sababu wazazi hawakufanya uchaguzi sahihi wa marafiki😪🥺😭Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda.
Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha nini? Kama jibu ni hakuna, basi mtoto wako naye hana cha kupata hapo.
Usiwe mkusanyaji wa watu ovyo. Kumbuka: weka kwenye mfuko kitu chenye thamani. Chagua marafiki wenye akili na ndoto. Ili kesho mtoto wako aseme Baba/Mama alifanya uchaguzi mzuri.
Kuna baadhi ya watoto wanalia Sasa hivi kwa sababu wazazi hawakufanya uchaguzi sahihi wa marafiki.
Sijaelewa marafiki unaowaongelea hapa, je ni marafiki wa kalamu, girl friend/boy friends?Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda.
Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha nini? Kama jibu ni hakuna, basi mtoto wako naye hana cha kupata hapo.
Usiwe mkusanyaji wa watu ovyo. Kumbuka: weka kwenye mfuko kitu chenye thamani. Chagua marafiki wenye akili na ndoto. Ili kesho mtoto wako aseme Baba/Mama alifanya uchaguzi mzuri.
Kuna baadhi ya watoto wanalia Sasa hivi kwa sababu wazazi hawakufanya uchaguzi sahihi wa marafiki.
Umeongea vemaWatu wengi hupenda kusema,
Tafuta watu wema ''Good people'' na uwaache watu wabaya,
Lakini Mimi nasema,Tafuta wema,uzuri wa watu uliomo ndani mwao na yale mabaya uwaachie wenyewe,yani unachukua yale mazuri tu na unayoona yatakufaa,huwezi kuwaignore watu wengi coz no one is perfect,
Kila mtu anaweza asiwe mzuri kwako lakini kuna kitu kizuri ndani ya kila mtu,
Usipende kumuhukumu mtu,au kumtengenezea fixed image coz people act differently with different people.
Wewe huna rafiki ambao watoto wako wanawafahamu?Sijaelewa marafiki unaowaongelea hapa, je ni marafiki wa kalamu, girl friend/boy friends?
Maana mtoto wako huakisi malezi ya wazazi wake pamoja na mazingira!
Hapo rafiki anaingiaje, kwanini usiseme majirani na ndugu?
Asante. Umenena vemaMtengeneze mtoto wako aje awe mtu mwenye kitu Fulani hapo marafiki hutawalaumu.
Aweze kusimama mwenyewe kwanza na kaa ukijua connection yako sio ya mtoto wako... Mtoto wako atatengeneza yake wewe yako itakuwa kama kilainishi tu.
Binafsi huwa nikiwa kwenye mishe zangu na nikiandika jina full huwa naulizwa huyu Leo dada ni yupi ndio aliyekuwa sehemu flani???? Najibu ndio hapo napata Chaka la kulainisha kazi zangu.