Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
😹😹😹 oyaaaaHapo kwenye ma Ex, hapanaaaaa!! Kuna huyo Ex sio rafiki wala mtu wa karibu, yule ni adui yanguu had siku nafukiwa chinii.
Nweiiiiii marafiki zetu, ujumbe upo hukuu, mkujee msomeee.
Nimecheka kifala, em nambie ex shem alikufanya nini??