Marafiki zetu mtusamehe sana

Marafiki zetu mtusamehe sana

Hapo kwenye ma Ex, hapanaaaaa!! Kuna huyo Ex sio rafiki wala mtu wa karibu, yule ni adui yanguu had siku nafukiwa chinii.

Nweiiiiii marafiki zetu, ujumbe upo hukuu, mkujee msomeee.
😹😹😹 oyaaaa
Nimecheka kifala, em nambie ex shem alikufanya nini??
 
Nimeshia kusoma hapo ulipoandika 'kwa sasa tuna wapenzi', maelezo mengine kabla ya hayo naona yako sawa tu
 
Ndonga yangu sasa hivi.
355247470_3566391916972703_7504252141230273952_n.jpg
 
Asante kwa ujumbe mzuri,MUNGU akutunze marafiki zangu sasa hawanielewi tena
 
Na sisi marafiki tunasema KATAA NDOA

Mithali 18:24 itoshe kuufunga huu uzi, ukiwa mbishi sana ishi na Mithali 18:22 ila usiseme marafiki hatujakuambia.
 
Back
Top Bottom