Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
8,106
Reaction score
3,966
Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.

Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!

Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.

IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.

KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika.
Nchi kama yetu na vyombo na vyombo
HUSIKA ni LAZIMA wawe ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!

Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika.
Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote la kuchukua ADVANTAGE KIUCHUMI ama KISIASA na laweza kufanywa na the BIG BROTHERS kwa MANUFAA yao!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
 
Mods huu si uzi wa kuungwa ni jambo la muhimu sana katika KUDHBITI usalama wa taifa letu.

Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.

Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!

Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.

IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.

KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika. Nchi kama yetu na vyombo
HUSIKA kuwa ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!

Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika. Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote na chochote chawezwa kufanywa na the BIG BROTHERS!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
We unashangaa leo?
Uko dunia gani?

Obama mwenyewe alikamatwa redhanded akimjasusi Angela Merkel karibu miaka mitatu iliyopita, ilibidi aombe radhi.

Kuchunguzwa na Idara za kijasusi za kimataifa ni jambo la kawaida kabisa.
Ni wewe tu unajiwekaje kutunza usalama na siri zako.
 
Hivi nchi duni kama Tanzania hata ikidukuliwa kuna nini ?
Jidanganye hivyo hivyo hao jamaa wanadukua kila sehemu, na sehemu nyingine ambayo ni hatari; ni kufanyia vikao vya siri kwenye kumbi za watu binafsi-huko nako wanadukuaga sana tena wanatumia vifaa kama vile alivyo wekewe Dr. Slaa kwenye chumba chake kule Dodoma.
 
Sasa Tanzania tutaficha nini?

Tunaficha nini kwa mfano yaani with our poor Technology....
Mawasiliano tuko dependant 100% , Telecom devices zoteee tunanunua kwao alafu washindwe kutuingilia ?

Sijui ikulu na viongozi wetu wanatumia njia gani kuwasiliana on private issues lakini najua wana laini za voda, Tigo, halotel ,airtel sijui na TCCL

Hatuna hata Cyber Army yakufanya propaganda kama wenzetu....

Kama vipi wapigiane tuu simu za kuonana..waongee face to face...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Yer face to face ndo mapango mzima, na Raisi Magufuli ni mzuri kwenye hili.
 
Mods huu si uzi wa kuungwa ni jambo la muhimu sana katika KUDHBITI usalama wa taifa letu.

Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.

Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!

Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.

IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.

KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika. Nchi kama yetu na vyombo
HUSIKA kuwa ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!

Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika. Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote na chochote chawezwa kufanywa na the BIG BROTHERS!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
Hao Jamaa wakitaka unfo Tanzania wala hawana haja ya ku dukua Mawasiliano ya Rais Mbona.
Hata kesho wakitaka info yetote ile wanaipata
 
Back
Top Bottom