Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Umesoma SOURCE ama unajibu tu.
It's NOT from me sir but rather from the source Le monde a respectable ......visit if you can read french sir.
Matola. Nilipokujibu. Sikujua unamjibu asiye elewa. Samahani mkuu. Sasa nimekuelewa ulikuwa UNAMJIBU huyo jamaa!
 
nakuomba ufanye jaribio moja:

mpigie simu mjomba wako kule kijijini,halafu maongezi yenu yawe kwa lugha ya kabila lenu.

ktk hayo mazungumzo,chomekea (kwa kiluga chenu) neno "tutalipua ubalozi wa marekani".

rudia kama mara mbili au tatu kwa kusisitizia,then jipe mda wa kama lisaa limoja au mawili.unaweza ukazima simu au ukaiacha ON ukiwa unasubiri matokeo.
Hapo ni jaribio tosha. Kama hatakuwa historia baada ya masaa machache!
 
Hizi nchi za Africa chini ya jangwa la sahara sioni impact yeyote kwenye huo udukuzi sana sana watanasa mipango ya kuiba kura ,uzushi, uwongo, mambo ya umbea na vitu vinavyoendana na hivyo hakuna la maana watakalopata.
Mkuu nchi za Africa ni MASKINI na watu wanaweka SAHIHI MIKATABA ya hovyo. Sababu WANAWASOMA, WANAJUA uwezo wenu katika BARGAINING ya mikataba ya INTL ma kuwajua uwezo wenu wenu uko kiasi gani HALAFU wanawapiku.
Impact ni kubwa sana!
 
Thread ya kijinga sana. Waache wamdukue tu atajua mwenyewe. None of our business.
Mkuu nakushangaa sina la kuongeza.
Yaani eti "NONE of our business?"Are you serious from the depth of your heart sir???????????
 
Vijana wanaofanya project ktk taasisi za kidukuzi ndio hupewa homework kuwadukua jamaa zetu.
 
Unaposema kuna nini nakushangaa. Udukuzi unaweza kuwapa washindani wetu faida ya kibiashara. Kisiasa, nk. Uzalendo ndo jambo la maana
Tanzania mna biashara gani nyinyi ? Hata pamba ya kuoshea vidonda mnaagiza kutoka china .
 
Back
Top Bottom