kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
ndio maana geronimo aliachana kabisa na mfumo wa kutumia simu ktk kuwasiliana na makamanda wake.hii ilimsaidia kukwepa viunzi vingi alivotegeshewa na CIA pamoja na washirika wao.
wanakwambia kama unataka uishi salama bila kudukuliwa kwa namna yoyote ile ktk zama hizi,itakubidi ukubali kuishi maisha ya zama za watu wa kale (old stone age).
wanakwambia kama unataka uishi salama bila kudukuliwa kwa namna yoyote ile ktk zama hizi,itakubidi ukubali kuishi maisha ya zama za watu wa kale (old stone age).