Umenitoa Gizani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 387
- 182
Gesi wanachukia sana ulitamka viwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah ni kweli but cku zote unapofanya investment lazima pia uangalie wnapata nn in return,mfano wadukuz weng wanaodukua nchi za ulaya na marekan weng wao huwa wanadukua siri za makampuni makubwa ya biashara ama ya silaha ili watumie taarifa hizo kuwasaidia kuendeleza makampuni yao pia kwahio hapa bajeti znazowekwa na serikali husika kwe viombo vyao usalama ili kuzlnda taarifa za kampun zao zinakuwa ni sawa.....nakumbk pia hawa wabritish kwa huku east africa wamekua wakidukua sana kenya hsa kwajili ya kutrace link za al shabab na c kwasababu zingne kwahio kwa mtazamp wang mm kwekeza huko ni muhimu lakin kwa sasa hatuna udharula huo labda uko mbelen kwasasa tuendelee tu kuwekeza kwe elimu itatusaidiaga huko mbelen kuja kusolve changamoto km hizi[/QUO
Japokuwa ni nakuelewa vizuri lakini kwa mtazamo wangu naona udharura na tahadhari ni za muhimu!
Japokuwa nimekuelewa. Udharura na tahadhari unahitajika!Kwa nijuavyo,mtaalumu siyo fundi namaanisha mtaalamu,chochote mtu wa kawaida na kati akionacho kuwa ni siri na ameweka paswords ajuazo zote,mtaalamu atakiona atakavyo. Hatuna hata kimoja cha kuficha kama jamii iliyomakini inahitaji kukijua. Mleta mada unawaza vizuri japo wazo lako lilipaswa kutumika miaka kadhaa nyuma na si sasa.Sasa niajabu kuwa vitu vingi vyawezachunguza chochote bila wengi kujua.hata hao wanaoongoza kwa kudukuwa hawana uwezo wa kujikinga kudukuliwa.
Nashauri taifa liandae watu wake kujua uhalisia wa maisha ili wawe tayari kuzalisha katika njia sahihi na kulipa kodi sahihi ili wawe wazalendo wa kweli kwani hata hao tuwaogopao,watakapo kuja kwetu baada ya kudukuwa,watapitia miongoni mwa watanzania na wakikuta haki,mshikamano na uzalendo uko katika mwenendo mzuri,hawtakuwa na pa kupitia.
Japokuwa mabalozi hawahusiki moja kwa moja, kuna wshusika wenye miamvuli za kila aina!!!!Mabalozi wenyewe tunaletewa majasusi nguli. Balozi wa US alikuwa Deputy Chief Of Staff White House. Balozi wa Uingereza aliyemaliza mda wake Diana Melrose naskia ni nguli MI6. Imagine alikuwa Cuba kabla ya kuletwa hapa. Rasilimali zetu ndio zinafanya tunafatiliwa hivi. Kutembelewe na Marais watatu wa US na wawili wa China sio jambo dogo. Hawa ndio mataifa makubwa ya kiuchumi duniani. Tulisikia pia mipango ya Putin kuja Tanzania naona aliharisha.
Japokuwa MABALOZI hawahusiki moja kwa moja, lakini kuna wahusika walio na MIAMVULI ya aina mbali mbali!Mabalozi wenyewe tunaletewa majasusi nguli. Balozi wa US alikuwa Deputy Chief Of Staff White House. Balozi wa Uingereza aliyemaliza mda wake Diana Melrose naskia ni nguli MI6. Imagine alikuwa Cuba kabla ya kuletwa hapa. Rasilimali zetu ndio zinafanya tunafatiliwa hivi. Kutembelewe na Marais watatu wa US na wawili wa China sio jambo dogo. Hawa ndio mataifa makubwa ya kiuchumi duniani. Tulisikia pia mipango ya Putin kuja Tanzania naona aliharisha.
Haaaaa haaaaa inaweza saidia tunaambiwa kuna kiongozi Afrika huvuta bangi kabla ya kuongea,ndio maana anaropoka tu.sasa wikleak ikivujisha hii itatifanya tusipate tabu naye
Faiza Foxy nakuelewa lakini tunaweza kujaribu tuwezavyo kuliko kusema hatuna namna. Ama waonaje tukae tu tusubiri watudukue?Mitambo yote ya mawasiliano inatoka huko huko, hatuna ujanja wa kuwazuia wasitudukue watakapo.
Huko huko= HukoMitambo yote ya mawasiliano inatoka huko huko, hatuna ujanja wa kuwazuia wasitudukue watakapo.
nilijua mitambo iliyotengenezwa na watanzania wazalendo maprofesa na madaktari wa sayansi ya mawasiliano na wahandisi kwa ujumla kumbe kutoka israel?Tanzania Iko Njema Kuna Mitambo Toka Israel Ipo Hapa
Faiza Foxy nakuelewa lakini tunaweza kujaribu tuwezavyo kuliko kusema hatuna namna. Ama waonaje tukae tu tusubiri watudukue?
Tusisumbuke bure..hii kitu uwezi kuzuia kwa technology yetu hii ndogo hivi...
Labda tuanze kutengeneza vifaa vyetu..simu zetu...magar yetu...ndege zetu..satellite tuwe na yetu..n.k...kifup tusipoteze muda kuwaza vitu hivi
Faiza Foxy nashukuru ila tunaweza kuwa na discipline na hasa tukiongezana kuwekeza katika more advanced ENCRYPTED mawasiliano yanayohusu masuala nyeti tunaweza!Siyo kujaribu tu, tunafanya sana lakini hakuna namna kwa kuwa hata hizo systems za ku secure mawasiliano yetu zinatoka huko huko.
Damned if you do damned if you don't.
Waafrika sisi wapuuzi sana. Hakika mi nigekuwa mmoja wao nisingevua na ningewasonya niondoke nikachezee vitoi ns wanangu nyumbani,....ny ccckko zaoNilikua barabarani kushangilia ujio wa Obama pale getini nilishuhudia mawaziri wakivua viatu mikanda
Faiza Foxy nashukuru ila tunaweza kuwa na discipline na hasa tukiongezana kuwekeza katika more advanced ENCRYPTED mawasiliano yanayohusu masuala nyeti tunaweza!
Mkuu nimefanya na ni muda sasa sijaona lolote?nakuomba ufanye jaribio moja:
mpigie simu mjomba wako kule kijijini,halafu maongezi yenu yawe kwa lugha ya kabila lenu.
ktk hayo mazungumzo,chomekea (kwa kiluga chenu) neno "tutalipua ubalozi wa marekani".
rudia kama mara mbili au tatu kwa kusisitizia,then jipe mda wa kama lisaa limoja au mawili.unaweza ukazima simu au ukaiacha ON ukiwa unasubiri matokeo.