- Thread starter
- #81
Inawezekana katika Encrypted format.Wawe on top of things how? Mnapitishia Mawasiliano yote ya simu kupitia Satellite za nchi nyingine na intercontinental submarine fiberoptic cables za wengine mnadhani nini?
Unajua watengenezaji wa simu kama Blackberry waliwatoa jasho CIA.na hata NSA. Walishindwa ku CRACK simu zao. Walisihi sana wakiiomba kampuni hiyo iwape namna.
Sijui kama walikubaliwa. Mwenye habari anaweza kuchangia