Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Hizi nchi za Africa chini ya jangwa la sahara sioni impact yeyote kwenye huo udukuzi sana sana watanasa mipango ya kuiba kura ,uzushi, uwongo, mambo ya umbea na vitu vinavyoendana na hivyo hakuna la maana watakalopata.
 
Maraisi wenyewe ni dizain hii ya kina Yahya Jammeh kwanini wasipelelezwe?wapelelezwe tu maana hakuna faida au hasara tutakayoipata wakifanyiwa hivyo.
Huyu Jameh wa Gambia nae kanishangaza sana. Afrika tunayo safari ndefu sana.
 
Kuwa serious kijana! ! Washadukuliwa wenye akili zao ujerumani nishangae kuhusu tz?
 
Thread ya kijinga sana. Waache wamdukue tu atajua mwenyewe. None of our business.
 
Dhubutu wale wataalamu wao wanajua kila lugha muhimu za dunia hii usijidaganye na kiswahili, kuwa hawakufatilii, tena wale wana information kuliko hata viongozi wenyewe.
Mkuu,sio wataalamu wao tu kujua lugha muhimu,bali agencies zao zao wanawatu toka mataifa almost yote waliyo na maslahi nayo. NSA pale kuna mbongo pure na wengine wapo kwenye nchi zao husika.
 
Kama wameweza kumdukua Angela Mikel itakuwa hapa?vifaa vyote vya mawasiliano ni vyao tutaweza kuwazuia?
 
Mkuu,sio wataalamu wao tu kujua lugha muhimu,bali agencies zao zao wanawatu toka mataifa almost yote waliyo na maslahi nayo. NSA pale kuna mbongo pure na wengine wapo kwenye nchi zao husika.
Nakubaliana na wewe jamaa wana maajent kila nchi ka ni uarabuni basi anakijua lugha halisi, hata Watanzania watakuwepo tu.
 
Mods huu si uzi wa kuungwa ni jambo la muhimu sana katika KUDHBITI usalama wa taifa letu.

Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.

Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!

Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.

IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.

KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika.
Nchi kama yetu na vyombo na vyombo
HUSIKA ni LAZIMA wawe ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!

Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika.
Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote la kuchukua ADVANTAGE KIUCHUMI ama KISIASA na laweza kufanywa na the BIG BROTHERS kwa MANUFAA yao!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
Wawe on top of things how? Mnapitishia Mawasiliano yote ya simu kupitia Satellite za nchi nyingine na intercontinental submarine fiberoptic cables za wengine mnadhani nini?
 
Mods huu si uzi wa kuungwa ni jambo la muhimu sana katika KUDHBITI usalama wa taifa letu.

Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.

Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!

Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.

IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.

KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika.
Nchi kama yetu na vyombo na vyombo
HUSIKA ni LAZIMA wawe ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!

Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika.
Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote la kuchukua ADVANTAGE KIUCHUMI ama KISIASA na laweza kufanywa na the BIG BROTHERS kwa MANUFAA yao!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
Hatuna ubavu wa kuzuia tusidukuliwe,labla tusitumie simu
 
Mjumbe mwenzangu nina mashaka Sana na ulichoandika, Kwanza na mimi nakiri tuko nyumba ki technologia, hebu weka maelezo walau ya kuthibitisha kuwa hao watu wanatumia hiyo mitandao, mimi labda niseme wenzetu wameanza mapema mambo haya ingawa na sisi tumo licha ya kuwa Tanzania mambo yake hasa yanayohusu usalama huwa ni siri. Nimalizie kwa kusema tu watu kama Certified hackers wapo hata Tanzania na niwajuzi tu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu sasa unataka kujilinganisha na wamarekani kwenye Technology?

Hacker?? Hackers wanazui ikulu ya Tz kuchugnuliwa ?

Unataka kusema Tz tuna watu wa caliber ya kina Snowden?

Kama utakumbuka CIA waliingiliaga Mazungumzo ya Siri ya Chancela wa ujerumani Angel na uwezo wote wa ujerumani sembuse Magu wa Tz...

Tz bado sana
 
Back
Top Bottom