Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Nothing can be done about it,hatuna technology la kuzuia hilo,wa kwetu yeye ni kiswahili tu,watapata tabu kumuelewa!
nakuomba ufanye jaribio moja:

mpigie simu mjomba wako kule kijijini,halafu maongezi yenu yawe kwa lugha ya kabila lenu.

ktk hayo mazungumzo,chomekea (kwa kiluga chenu) neno "tutalipua ubalozi wa marekani".

rudia kama mara mbili au tatu kwa kusisitizia,then jipe mda wa kama lisaa limoja au mawili.unaweza ukazima simu au ukaiacha ON ukiwa unasubiri matokeo.
 
Sasa Tanzania tutaficha nini?

Tunaficha nini kwa mfano yaani with our poor Technology....
Mawasiliano tuko dependant 100% , Telecom devices zoteee tunanunua kwao alafu washindwe kutuingilia ?

Sijui ikulu na viongozi wetu wanatumia njia gani kuwasiliana on private issues lakini najua wana laini za voda, Tigo, halotel ,airtel sijui na TCCL

Hatuna hata Cyber Army yakufanya propaganda kama wenzetu....


Kama vipi wapigiane tuu simu za kuonana..waongee face to face...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu hata face 2 face Kama wanataka kudukua watadukua tu! Hao jamaa linapokuja suala la maslahi ya nchi yao huwa hawana masikhara.
 
Hadi kamanda kova walimchecki wakapanda had paa la ikulu chah, walinzi wetu walikua si lolote na ujue hapo wameshachunguza kila kitu a up to z
Yalikua zaidi ya maajabu na si ikulu tu uwanja wa ndege hotel na hata majengo karibu na ikulu bahari vilikua mali yao kwa kipindi kile
 
zile simu anazopigiwa na makonda kwenye mikutano ya hadhara zikome
 
watu wamemdukua mpk merkel na yule rais wa china aliepita..km unataka usidukulike labda muwe mnawasiliana kwa barua
 
watu wamemdukua mpk merkel na yule rais wa china aliepita..km unataka usidukulike labda muwe mnawasiliana kwa barua
Swali Ujerumani waligundua kuwa wanadukuliwa ndo wakalalamika na sisi je?
 
Udukuaji mbona kawaida sana. Nenda mitaa ya uswahilini uone wanavodukuana.
 
Jidanganye hivyo hivyo hao jamaa wanadukua kila sehemu, na sehemu nyingine ambayo ni hatari; ni kufanyia vikao vya siri kwenye kumbi za watu binafsi-huko nako wanadukuaga sana tena wanatumia vifaa kama vile alivyo wekewe Dr. Slaa kwenye chumba chake kule Dodoma.
ile ilikua sinema tu ya kupatia kiki,chama chetu kilikua kidogo sana,sasa magazet yangetuandikaje!?..we hukumbuk aliletewa chupa ya mvinyo ilyotobolewa,kweli wakutake watoboe chupa
 
wee serikali zetu za kiafrica haziwez kukiri km wamedukuliwa...tutaishia kuckia kwe bbc na cnn tu
wee serikali zetu za kiafrica haziwez kukiri km wamedukuliwa...tutaishia kuckia kwe bbc na cnn tu
Nafikiri pia serikali inaweza KUWAONGEZEA BAJETI ya kutosha upande wa...... chombo husika ili wawe na uwezo wa kufanya counter UDUKUZI na vifaa vya kisasa. Ama unaonje mkuu?
 
Waje wanidukue mimi!! Angalau wanaweza kujua nilivyo pigika wakanionea Huruma na kunipiga jeki!! Maana watashangaa jinsi simu za madai zinavyopishana hewani! Huku nyingi zikiwa hazipokelewi!! Cmon.[/QUO
Yako ni kali jamani wee.Huruma!!
 
Wakwetu aendelee kuongea zaidi Kiswahili ili hata wakimdukua wapate shida kidogo.
Waingereza WANAKIJUA kiswahili kama maji. Hapo hakuna siri. Labda TUTUNGE lugha NGUMU sana.Ambayo hata wai intercept watasikia wawimbi ya maji. Na ujumbe utakuwa umepita!
 
Wanayo MI5 ambayo ni counter espionage, inafanya kazi nyumbani. Na MI6 ambayo iko chini ya ofisi ya Boris Yeltsin, siyo Yeltsin,yule jamaa anaitwa nani? Boris Johnson.
Sasa wewe,what are you complaining about?
 
Back
Top Bottom