Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
hakuna walichotubakisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una ifahamu NSA??Mods huu si uzi wa kuungwa ni jambo la muhimu sana katika KUDHBITI usalama wa taifa letu.
Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.
Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!
Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.
IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.
KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika. Nchi kama yetu na vyombo
HUSIKA kuwa ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!
Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika. Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote na chochote chawezwa kufanywa na the BIG BROTHERS!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
Nilidhani umekuja na habari ya maana au mpya kumbe ni hii?Mods huu si uzi wa kuungwa ni jambo la muhimu sana katika KUDHBITI usalama wa taifa letu.
Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.
Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!
Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.
IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.
KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika. Nchi kama yetu na vyombo
HUSIKA kuwa ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!
Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika. Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote na chochote chawezwa kufanywa na the BIG BROTHERS!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
Hapa kama sijaelewa vile.kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote na chochote chawezwa kufanywa na the BIG BROTHERS!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
Xkeyscore inafanya kazi nzuri kabisa ata google translator haigusi chembe so we are not safe..Uzuri mkulu anatumia Kiswahili muda mwingi na si kiinglish
Ahsante mkuu ila wanawezaje kuzuia. Je wakae kama lame duck ama tugutuke?una ifahamu NSA??
je operation Prism?? ilikua revealed by Edward snowden fatilia kudukuliwa kwa sim ya Angel Markel + other European countries yote ayo yame fanyika kwa mda mrefu mpaka apo uyo whistlebrower Snowden alipo zungumza izo ishu
kwa hiyo si jambo geni kwa viongozi wa kiafrika kuchunguzwa ili hali una tumia device zao, huduma zao eg internet, Mails, Social networks karibia zote ziko under suveilance yote ayo yakifanywa na Nsa+ British agency yao..
Too low from you, CIA na mashirika makubwa yote ya kijasusi wana wataalam wa lugha zote.Uzuri mkulu anatumia Kiswahili muda mwingi na si kiinglish
Chochote chaweza kutokea yaani. Wanaweza kutuhujumu, ama ku take advantage na kutusikiliza MAWASILIANO YETU kabla ya KUFANYA pengine MAKUBALIANO muhimu ya KIUCHUMI na hivyo KUTUJUA mapema na KUTUPIKU!Hapa kama sijaelewa vile.
Umesoma SOURCE ama unajibu tu.Too low from you, CIA na mashirika makubwa yote ya kijasusi wana wataalam wa lugha zote.
Tena mambo mengine google translate inayafanya kwa ufanisi kabisa.
Hivi nchi duni kama Tanzania hata ikidukuliwa kuna nini ?
Watudukue tu, Faru john nasikia ni bingwa wa kudunda. Anapiga kama komando JohnHivi nchi duni kama Tanzania hata ikidukuliwa kuna nini ?
Kudukuana ni kitu cha kawaida na kipo tangu dunia ianze! Na wala si kuwa na teknologia ndo unakuwa mdukuaji mzuri... mpaka saa hizi udukuaji kwa kutumia human intelligence ndo mzuri na unaongoza. Marekani walijaribu kutumia satelite pekee wakadunda ndo maana wameendelea kufadhili NGO kwa ajili hiyo kumbuka enzi za missionaries!!Mods huu si uzi wa kuungwa ni jambo la muhimu sana katika KUDHBITI usalama wa taifa letu.
Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.
Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!
Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.
IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.
KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika. Nchi kama yetu na vyombo
HUSIKA kuwa ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!
Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika. Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote na chochote chawezwa kufanywa na the BIG BROTHERS!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
Wataipate infor yetu mkuu. Hali sisi niHao Jamaa wakitaka unfo Tanzania wala hawana haja ya ku dukua Mawasiliano ya Rais Mbona.
Hata kesho wakitaka info yetote ile wanaipata
Mjumbe mwenzangu nina mashaka Sana na ulichoandika, Kwanza na mimi nakiri tuko nyumba ki technologia, hebu weka maelezo walau ya kuthibitisha kuwa hao watu wanatumia hiyo mitandao, mimi labda niseme wenzetu wameanza mapema mambo haya ingawa na sisi tumo licha ya kuwa Tanzania mambo yake hasa yanayohusu usalama huwa ni siri. Nimalizie kwa kusema tu watu kama Certified hackers wapo hata Tanzania na niwajuzi tu.Sasa Tanzania tutaficha nini?
Tunaficha nini kwa mfano yaani with our poor Technology....
Mawasiliano tuko dependant 100% , Telecom devices zoteee tunanunua kwao alafu washindwe kutuingilia ?
Sijui ikulu na viongozi wetu wanatumia njia gani kuwasiliana on private issues lakini najua wana laini za voda, Tigo, halotel ,airtel sijui na TCCL
Hatuna hata Cyber Army yakufanya propaganda kama wenzetu....
Kama vipi wapigiane tuu simu za kuonana..waongee face to face...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kwa hiyo aache kutwanga re foni kwa clouds au?Mods huu si uzi wa kuungwa ni jambo la muhimu sana katika KUDHBITI usalama wa taifa letu.
Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na KUGAWANA SIRI hizi na CIA ya Marekani.
Makao makuu ya Mawasiliano ya kijasusi ya Uingereza GCSQ -British Government Communication Hq inayoshughulikia ku INTERCEPT/Kunasa mawasiliano ya KIJASUSI (SIGNIT) kutoka nchi mbali mbali ikiwemo viongozi wa nchi hizo kwa manufaa ya KISIASA na UCHUMI miongoni mwa MASLAHI yao mengine ya kisiasa imekuwa IKIFANYA KAZI HIYO!
Habari ZILIZOVUJA zinasema miongoni mwao ni viongozi waliopita na WALIOKO.....wa Afrka Mashariki ikiwa ni pamoja na Mawaziri wao Wakuu.
IKULU kadhaa ikiwemo ya Angola zimekuwa katika jicho kali 24/7 la shirika la ujasusi la Uingereza MI6.Hii ni kutokana na UTAJIRI wake mwingi wa mafuta.
KUVUJA kwa habari hizi kumela PANIC miongoni mwa viongozi na nchi za Afrika. Nchi kama yetu na vyombo
HUSIKA kuwa ON TOP of things, ili KUZUIA ama KUKINGA MAWASILIANO ya rais Magufuli na WASAIDIZI wake wa KARIBU YASIVUJE!
Natumaini Rais Magufuli ATASIKILIZA USHAURI wa vyombo HUSIKA ili KUTOPIGA SIMU KIENYEJI katika ulimwengu uliobadilika. Tukizingatia kuwa Tanzania ni NCHI TAJIRI lolote na chochote chawezwa kufanywa na the BIG BROTHERS!
Chanzo Le monde la Ufaransa!
Nilikua barabarani kushangilia ujio wa Obama pale getini nilishuhudia mawaziri wakivua viatu mikandaNilidhani umekuja na habari ya maana au mpya kumbe ni hii?
Obama alipokuja Tanzania ikulu ilikuwa chini ya Wamarekani na wageni wote sharti wao ndio watowe kibari na kuna mawaziri walikataliwa au umesahau?
Kama kudukuliwa anadukuliwa 'mpaka kansela wa Ujerumani ndio sembuse Waafrika?
Kwangu hamna jipya hapa.
Nothing can be done about it,hatuna technology la kuzuia hilo,wa kwetu yeye ni kiswahili tu,watapata tabu kumuelewa!
Mkuu nimekupa source ya ku refer Le monde- UfaransaMjumbe mwenzangu nina mashaka Sana na ulichoandika, Kwanza na mimi nakiri tuko nyumba ki technologia, hebu weka maelezo walau ya kuthibitisha kuwa hao watu wanatumia hiyo mitandao, mimi labda niseme wenzetu wameanza mapema mambo haya ingawa na sisi tumo licha ya kuwa Tanzania mambo yake hasa yanayohusu usalama huwa ni siri. Nimalizie kwa kusema tu watu kama Certified hackers wapo hata Tanzania na niwajuzi tu.
Ndo nimeliweka mkuu. Niulize. Kama atahitsji moja ya Cloud na moja ya KIKAZI?Kwa hiyo aache kutwanga re foni kwa clouds au?