Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Umesoma SOURCE ama unajibu tu.
It's NOT from me sir but rather from the source Le monde a respectable ......visit if you can read french sir.
Matola. Nilipokujibu. Sikujua unamjibu asiye elewa. Samahani mkuu. Sasa nimekuelewa ulikuwa UNAMJIBU huyo jamaa!
 
Hapo ni jaribio tosha. Kama hatakuwa historia baada ya masaa machache!
 
Hizi nchi za Africa chini ya jangwa la sahara sioni impact yeyote kwenye huo udukuzi sana sana watanasa mipango ya kuiba kura ,uzushi, uwongo, mambo ya umbea na vitu vinavyoendana na hivyo hakuna la maana watakalopata.
Mkuu nchi za Africa ni MASKINI na watu wanaweka SAHIHI MIKATABA ya hovyo. Sababu WANAWASOMA, WANAJUA uwezo wenu katika BARGAINING ya mikataba ya INTL ma kuwajua uwezo wenu wenu uko kiasi gani HALAFU wanawapiku.
Impact ni kubwa sana!
 
Thread ya kijinga sana. Waache wamdukue tu atajua mwenyewe. None of our business.
Mkuu nakushangaa sina la kuongeza.
Yaani eti "NONE of our business?"Are you serious from the depth of your heart sir???????????
 
Vijana wanaofanya project ktk taasisi za kidukuzi ndio hupewa homework kuwadukua jamaa zetu.
 
Unaposema kuna nini nakushangaa. Udukuzi unaweza kuwapa washindani wetu faida ya kibiashara. Kisiasa, nk. Uzalendo ndo jambo la maana
Tanzania mna biashara gani nyinyi ? Hata pamba ya kuoshea vidonda mnaagiza kutoka china .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…