Marais kumi wathibitisha kuja kumuaga Rais Magufuli

Cha msingi wavae barakoa na kuchukua tahadhari zote za Corona, tusisababishe vifo vya kujitakia.
 
Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?
Na baadae wale waliokua wanakataa sio fisadi alivyosafishwa na mwenyekiti nao wakamuita fisadi ila aliporudi akawa sio fisadi tena..

Kuna chama kimezalisha mafisadi wengi nchi hii hata wewe unakijua. Ila usikitaje Roho itakuuma.
 
Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?
Yaani hii issue ilinifanyaga niichukie Chadema tangu mwaka2015.
Jamaa vigeugeu Sana. Ndio maana hata hayati JPM alivyowabana Mimi Kama Mimi nliona alikuwa sahihi.
Maana wangepewa uhuru wangeendelea kupakaza uongo tu Kama walivyofanya kwa Lowasa then wakamsafisha.
 
Hebu fikiria kuna wabunge walikuwa wanakatwa mishahara yao kila mwezi ili hela wanazokatwa zije zisaidie chama wakati wa uchaguzi. Lkn chakushangaza ulipofika uchaguzi mkuu chama kilianza kuchangisha wananchi masikini kwa madai kwamb chama hakina pesa ya uchaguzi wakati michango ilikuwa imeshakatwa kwa miaka yote mi5, hauoni kama hapa kuna ukigeu geu na upigaji
 
Na hao ndio wanyooshea vidole wenzao mpaka mishipa ya uso inasimama! Wanafiki majambazi makubwa!
 
Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?
Nje ya hoja , ukitaka kunielewa mfuatilie abbas akitangaza watakaohudhuria kuapishwa kwa Magufuli 2020 , alimtaja hadi TB Joshua , sasa ulimuona ?
 
Kwahiyo mkuu NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU awajaalie UMRI MREFU ZAIDI
 
M haswaa muwe makini na kata k zenu wanawake hua hawa endekekezi kata k kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…